Ewe Rais Kikwete! Tenda wema nenda zako, usingoje shukurani itakuletea matatizo!

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,429
Wakati wewe ukipambana kuleta maridhiano kila panapokuwa na migogoro inayohatarisha ustawi wa taifa, wengine wanafanya njama za kukwamisha maridhiano na kukudhihaki. Ewe Rais Kikwete, tenda wema nenda zako...... Mungu yuko upande wako na wenye hekma wanakuelewa vyema na watakuwa wanashukuru kwa jitihada zako.

Wakati ukijishusha ili kutoa ushirikiano na kutoa mwanya watu watoe yao ya moyoni bila woga, wengine wanatumia mwanya huo kujikweza na kutaka kujionesha wao ni akina nani na ikibidi kuvuruga hali ya mambo ili ikibidi udhalilike. Ewe Rais, Kikwete, tenda wema nenda zako!

Wakati mataifa mengine na ulimwengu ukitambua mchango wako katika jamii, nyumbani wengi wanakubeza na kukukatisha tamaa, Ewe rais Kikwete, endelea na moyo wako wa kuwa mvumilivu na mtulivu wakati wote kwani wengi miongoni mwetu, katika yale yanayotokea, tungeweza kupata jazba na kufanya maamuzi ya hasira!.

Ewe rais Kikwete, Tenda wema nenda zako , wala usingoje shukurani kwani itakuletea matatizo. Mungu akujalie moyo mwepesi na utulivu kila unapokabiliana na changamoto kwa mambo yenye maslahi ya kitaifa na endelea kujishusha kwani kila anayejishusha basi huyo atakwezwa na kila anayejifaharisha ili watu wamjue yeye nani, hatimae atashushwa!.

Mungu akujaalie busara zaidi na hekma uweze kuendelea kuwa na moyo wa Ihsani.

Wachache wa kuelewa na waelewe, wale wa kuchanganyikiwa na wachanganyikiwe na wakutukana kwa sababu ya chuki nawatukane.

Mimi ngoja nikapumzike kidogo ila nitarudi.
 
Jk kajichanganya na kujitukana mwenyewe kwa kuingilia na kuharibu mchakato wa katiba alipoenda kuzindua bunge la katiba kama mwenyekiti wa CCM na kutoa msimamo kwa niaba ya chama chake.
Rais Kikwete ameomba msamaha kiaina kwa kusema alitoa maoni kama mwananchi wa kawaida wakati pia muda wa kutoa maoni ulikuwa ulishapita halafu pia pale hakuenda kama mwananci wa kawaida bali alienda kama rais mkuu wa nchi.
 
Sijui kama unajua unachokisema hapa. Raisi wa nchi kujishua kwa nani na kwa madhumuni gani? Raisi wa nchi anapotekeleza majukumu yake ya Kikatiba kama Raisi sio hisani, ni wajibu kikatiba sio wema. Asipotimiza jukumu ni wizi wa hesima, imani na fedha ya watanzania waliompa. Raisi asiposimamia anachokiamini kama ni kitu kizuri anayumbisha nchi, bora asingeanzisha. Kiongozi asiyekuwa na uhakika wa wapi anataka kwenda ni bora hata asiyeelekea kokote. Hapa wewe unajipendekeza ili upate nini au hujui maana ya kuwa Raisi? Unadhani unamsaidia kumbe unambeza. Kiongozi hawezi kuacha watu wake njia panda. Raisi ni kama Brigadier hawezi kuacha jeshi lake Front line ukasema ni mwema

ACT stands for Alliance of Cowards and Traitors.
Sasa yamesalitiana na Mengine kuamua kujisalimisha kwa kujipendekeza Magambani
 
I like JK as an individual, Nina mashaka makubwa sana na the so called Taasisi ya Urais nchini Tanzania!!!
 
Ina matatizo makubwa sana na matatizo haya yanasababisha nchi kuendelea kukosa maendeleo pamoja na kuwa nchi ina utajiri mkubwa sana. Hakustahili kuwa Rais huyu.

I like JK as an individual, Nina mashaka makubwa sana na the so called Taasisi ya Urais nchini Tanzania!!!
 
Mchmba mavi hachambi mara moja na hata akichamba hayaishi
 
Mtani wangu Bethlehem naona umeamua kujivika kujishuku kwa niaba ya JK. Ila sasa nimeanza kupata wasiwasi na wewe, yaani unavyokuwaga unaanzisha mada nzitonzito kuhusu ushindani wa vyama vya kisiasa sijaona ukianzisha uzi kuhusu mustabali wa nchi yetu hususani katiba mpya, ila umeona uanzishe mada ya kumpaka mafuta JK!! Ama mwenzetu una maslahi binafsi na JK kiasi unaona kwa blunder hii ya katiba itakugarimu na wewe? Hakuna mwenye tatizo na JK kwa ni mtanzania na rais wetu ila kwa hili la katiba ukikaa naye mwambie kakosea na tunajua hakuna aliye mkamilifu. Ukweli ndio ndio ungempa amani.
 
Jk kajichanganya na kujitukana mwenyewe kwa kuingilia na kuharibu mchakato wa katiba alipoenda kuzindua bunge la katiba kama mwenyekiti wa CCM na kutoa msimamo kwa niaba ya chama chake.
Rais Kikwete ameomba msamaha kiaina kwa kusema alitoa maoni kama mwananchi wa kawaida wakati pia muda wa kutoa maoni ulikuwa ulishapita halafu pia pale hakuenda kama mwananci wa kawaida bali alienda kama rais mkuu wa nchi.

Ni kawaida kwa mtu kuzaa mtoto kwa Moyo safi, akamlea kwa moyo safi na kisha akamua kwa makusudi tena bila sababu!?
 
Sijui kama unajua unachokisema hapa. Raisi wa nchi kujishua kwa nani na kwa madhumuni gani? Raisi wa nchi anapotekeleza majukumu yake ya Kikatiba kama Raisi sio hisani, ni wajibu kikatiba sio wema. Asipotimiza jukumu ni wizi wa hesima, imani na fedha ya watanzania waliompa. Raisi asiposimamia anachokiamini kama ni kitu kizuri anayumbisha nchi, bora asingeanzisha. Kiongozi asiyekuwa na uhakika wa wapi anataka kwenda ni bora hata asiyeelekea kokote. Hapa wewe unajipendekeza ili upate nini au hujui maana ya kuwa Raisi? Unadhani unamsaidia kumbe unambeza. Kiongozi hawezi kuacha watu wake njia panda. Raisi ni kama Brigadier hawezi kuacha jeshi lake Front line ukasema ni mwema

Kuwakaribisha juice ikulu ni sehemu ya majukumu yake kikatiba?
 
Sawa na ukawa wanavyokwendaga kunywa juice...!!
Wewe ni Nyumbu wa Lumumba,so akili zako ziko kwa nyuma.
Inaonekana ukilala unaiota ACT haikutoki mdomoni.
Kwa Sababu ya Upopo wenu,ona sasa baada ya Bwana wenu kukimbilia Mahakan na kuonesha kuto kuwa join,mmeamua kujaribu bahati yenu Magambani.
Nasikia P.L.O Lumumba, naye ni ACT

Prof Lumumba kamchana JK live kuwa ndo kaharibu mchakato mzima na sasa anaomba poo kiana.
ACT hata ZZK mwenyewe aliyewachuuza mkaenda head head kawatelekeza no wonder mnajaribu kutokea Magambani kwa style za kuwalamba Ma gamba viatu.
Njaa zitawafanya mfanywe vibaya sana one day.
 
Back
Top Bottom