Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,983
- 1,252,302
Umezijuaje,au umeshajaribu?
Ndiyo. Kuna hips lifter huwa zinapakwa
Ndiyo. Kuna hips lifter huwa zinapakwa
Huyu hata haeleweki anaongelea nini, angejikita basi kwenye mantiki ya uzi wake sio kuponda dressing table.
Haeleweki kama jinsia yake, japo huwa ana taste za kiume, dizain james.........
Ndiyo. Kuna hips lifter huwa zinapakwa
Uh!!mimi baba ni simba wewe mama ni yanga
sasa kitu gani huelewi
Huyo wa kwanza mwenye kilemba. Si unamuona alivyo ? Anaangushwa na mavazi tu. Akitupia mavazi ya ukweli huyo bila kuongeza chuchote utamtaka huyo
Yaani wewe!! Ndiyo lazima yawe mengi.Sasa ndiyo makorokoro yawe mengi hivyo ?
Umeongea mkuu, sina chakuongezea. Chukua likes za kutoshaKuanzisha drama za kishamba, ili kuonekana wewe ndio mkuu, ni upopoma. Ukuu unakuja automatically, ukisikia mwanaume anasema 'unajua mimi ndio baba' jua huyo keshapoteza mwelekeo - ubaba hauji kwa kushindwa kuhudumia dressing table.
Mwanaume haujiamini, kwamba mkeo akijiremba basi analiwa nje - akili za vibamia hii. Hawa mabinti ni 'pambo' bwana, muda wote lazima wawe nadhifu, scent nzuru, ukitembea nae kajipiga mapoda hata wewe kidume kifua kinakua mbele, sio binti unakuta manyusi yametapakaa kila kona ya jicho, unakuta binti ananuka harufu ya feri. Boss sambaza matunzo kwa huyo mlimbwende, sifa za kung'aa kwake zinarudi kwako.
Mkuu kuna Siri miaka hii ?Umezijuaje,au umeshajaribu?
Haya ndio mambo sasa. Mambo gani ya kuweka perfume na mafuta dirishani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swadakta....... wana -artificialise kila kitu. Mpk k zaoThis topic na mletaji wake wapo sahihi kabisa, urembo ni mzuri kwa mwanamke na hata biblia inasema hivyo. Ila dada zenu wa masiku haya hawana utofauti na hayawani. Wanajikwatua mpaka unawaogopa mbaya zaidi unakuta ni mwanamke mtu mzima lakini alivyojikwatua usoni utafikiri kitimoto yani ni aibu kubwa.
Old is goldWe jamaa ni old school kweli.
Probably wewe ni kati ya wale wanaume wenye dressing table [emoji6][emoji6]
Ona sasa hayo makorokoro !!! Mpk yanaogofya.
Sawa mkuu. Kipenda roho tena" na mwanamke ajipambe " hata biblia imesema.
Napongeza na ninapenda mwanamke ajirembe na kupendeza awe nadhifu, na kuvutia.
Sawa.Old is gold
Mkuu kuna Siri miaka hii ?
Bangi, ushoga, cocaïne, vyote unavijua unavitumia ?