Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Ila kama anataka kuuchubua uso sawa tu, hata kama anataka kupaka rangi kope, midomo na mashavu sawaaa, kama anataka kunyofoa nyusi alizopewa na muumba kwa makusudi kabisa poa, si mwili wake kaka, havunji sheria, mwache, ndio dunia ya kileo, yawezekana haya mambo ndio wanafikiri yanawapa confidence, mwanamke bila confidence mbaya kaka, kubali hili na wewe ufanye mengine ya kuboresha mwili wako...Ali mradi yasiingilie na bajeti ya hapo home, msosi uwe vile vile, wakati wa kuondoka uwe ule ule na sio kusubirishana kwenye ndinga wakati akifanya haya..
 
nipo upande wa mtoa mada
kama hivi.
52272922.jpg


au hivi?

542476362984e.image.jpg
 
mi na wewe tunapotofautiana ni kwenye simba akina baba na yanga akina mama
nipo upande wako
Akina baba!!! Baba siku zote ni kiongozi, kwahiyo anaeongoza ndie baba, hebu toa heshima kwa Yanga.
 
Labda nikinywa chai nitamwelewa mtoa mada.....NITARUDI
 
Kupaka mkorogo siyo kutunza ni kuharibu.
Kupiga jeki hips na matiti ndiyo kuyamong'onyoa zaidi
Kwahiyo sidiria,na skin tite zinakaa kwenye dressing table?

We ungejikita kwenye watu kujitunza kiasili ungeeleweka, ni vile tu haueleweki kama jinsia yako, basi ngoja nikuache.
 
Hii kasumba ya kukataa asili zetu tuiache. Hivi kubadili rangi ndiyo ujanja ?
Kupiga jeki matiti na hips ndiyo ujanja ?
Kunukia kama pilao lililochacha kwa mchanganyiko wa mirangi na parfumé ndiyo ujanja ?

Basi bora ushamba
Aliekuambia dressing tabke ndo inamfanya mtu akatae asili yake ni nani?
Tokea wnzi za mababu, wanawake wana vipodozi vyao... Tena utakuta kuna kisehemu kwenye nyumba wameweka vitu vyao vya urembo... Wazungu wametuletea makochi, vitanda, makabati ya nguo, makabati ya vyombo na hizo dressing table kwa sababu vilihitajika....
Kua na dressing table hakumaanishi kua unajibadilisha uasili wako... Wengine tupo na asili zetu vizuri tu, dressing table zina, lotions, sprays, perfumes... mafuta ya nazi, olive oil, machanuo....

Sasa wewe unaetaka asili na kukataa dressing table, ishi kwenye nyumba ya nyasi... Ndo asili yetu hiyo
 
kama hivi.
52272922.jpg


au hivi?

542476362984e.image.jpg
Huyo wa kwanza mwenye kilemba. Si unamuona alivyo ? Anaangushwa na mavazi tu. Akitupia mavazi ya ukweli huyo bila kuongeza chuchote utamtaka huyo
 
Kwahiyo sidiria,na skin tite zinakaa kwenye dressing table?

We ungejikita kwenye watu kujitunza kiasili ungeeleweka, ni vile tu haueleweki kama jinsia yako, basi ngoja nikuache.
Ha ha ha ! Mkuu umeanza uchokozi
 
Aliekuambia dressing tabke ndo inamfanya mtu akatae asili yake ni nani?
Tokea wnzi za mababu, wanawake wana vipodozi vyao... Tena utakuta kuna kisehemu kwenye nyumba wameweka vitu vyao vya urembo... Wazungu wametuletea makochi, vitanda, makabati ya nguo, makabati ya vyombo na hizo dressing table kwa sababu vilihitajika....
Kua na dressing table hakumaanishi kua unajibadilisha uasili wako... Wengine tupo na asili zetu vizuri tu, dressing table zina, lotions, sprays, perfumes... mafuta ya nazi, olive oil, machanuo....

Sasa wewe unaetaka asili na kukataa dressing table, ishi kwenye nyumba ya nyasi... Ndo asili yetu hiyo
Sasa ndiyo makorokoro yawe mengi hivyo ?
 
Akina baba!!! Baba siku zote ni kiongozi, kwahiyo anaeongoza ndie baba, hebu toa heshima kwa Yanga.
mimi baba ni simba wewe mama ni yanga

sasa kitu gani huelewi
 
Back
Top Bottom