Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Si kweli. Wenye hela na wanaojua kuzitafuta hawafanyagi ujinga huo. Wanaohangaika na uzuri bandia ni wale wenye vipato vya chini kabisa. Kwahiyo wala msisingizie kwamba wenye hela wao hufanya
Mkuu uko sawa, mwanamke mtafutaji hawezi kuhangaika na hayo maujinga..angalia watu ambao wamefanikiwa huwezi kuwakuta wamejaza machupa ya rangi ndani!!
 
Kuna ukweli ndani ya unachosema, na labda kwa kuongezea tu, kuna baadhi ya vitu ktk dressing table kama perfume/body spray ambazo marashi yake yanavutia sana na yanaamsha hisia za ngono.
mfano "Seduction" hata jina lenyewe tu ni shida. Mwanamke anazoea hizo na ni mtu wa kwenda out iwe kazini, au popote, huko lazima kuna watakao nasa.
 
Hii dressing table ndiyo chanzo cha migogoro ndani ya ndoa. Kwanini ?
1. Huyu mwanamke alikudanganya kimuonekano siku ya kwanza ulipomuona. Ulidhani ana ngozi laini ama rangi fulani kumbe ni dressing table. Ukija kuifahamu ngozi na rangi yake kamili kuwa iko viwango vya chini ya vile ulivyojiwekea moyoni, tayari kipande cha upendo humegeka. Mgogoro unaibuka.

2. Hii dressing table ni meza ya kutafuna hela, sawa kabisa ama kuzidi gharama ya kusomesha mtoto English medium schools. Kila iitwapo leo hela inapukutishwa na meza hii ? Siku ukiwa huna fedha za kuijaza meza hii itakuwaje ? Mgogoro unaibuka. Ukisikia wanawake humu wakisema kuna wanaume wana mikono ya birika, wanailenga pia meza hii.

3. Meza hii malengo yake ni maovu. Huyu mtu umekwisha muoa tayari, sasa sabb za kumiliki vichupa vya rangi tofauti kama fine-artist ni zipi ? Mabachelor wanafanya hivi ili wavutie, kisha wanase. Huyu wa kwako naye ?

Basi ukiona hivi, huyu mkeo ana ushetani wa kuendelea kupendwa na wengine. Ànataka kunasa mtu mwingine. Ndiyo.... Ndiyo motive behind ya kuwa na machupa mengi kama bwana mifugo. Maana kama ni mapele ama mabaka usoni wewe mumewe umeyaona.

Hebu ewe mwanaume, jiulize: mkeo matiti yamelala, halafu yy anahangaika kupaka mchina au kutumia sindiria zenye vifuu vya nazi ama kigodoro ili yaonekane yamesimama. Aonwe na nani ili iwe nini ?

Mkeo hana makalio na umempenda jinsi alivyo lkn ànahangaika kupaka mchina au kuvaa skini tight zilizoshonewa hips za vigodoro ili akivaa aonekane ana hips. Aonwe na nani ili iwe nini ? Mkeo hajaridhika na wewe ama amekuchoka au ana hulka ya ukahaba.

Wahenga walisema mwanamke mwenye kujilemba hupenda na kulambwa pia

Amka mwanaume, hakikisha mkeo ana nawa uso kama wewe, una share naye mafuta yako ya mgando na ile losheni yako uliyonunua ukiwa bar. Cha nyongeza kwake iwe kitana kikubwa cha kulazia nywele tu.

ONYO: ushauri huu unafanya kazi kwa walio kwenye ndoa tu.
Nimecheka san daaah
 
Leo kwa mara nyingine umekuja kama ME... siku nyingine KE kweli wewe sexless

Anyways Asante kwa ushauri makini, nikioa nitauzingatia labda
 
Leo kwa mara nyingine umekuja kama ME... siku nyingine KE kweli wewe sexless

Anyways Asante kwa ushauri makini, nikioa nitauzingatia labda
Hahahahha ! Asante kwa comment yako laini ya leo. Maana siku zingine huwa unapiga misumari mpk basi
 
jamaaaa umetoa somo kubwa sana, wenye uelewa mdogo watapinga…
 
jamaaaa umetoa somo kubwa sana, wenye uelewa mdogo watapinga…
Asante sana mkuu kwa kongole la nguvu kama hili. Wanaopinga wanaujua ukweli lkn ili kunogesha mjadala lazima watu kama hawa wawepo.
 
Sasa hapo si inategemea na mtazamo wa mtu na mtu, mfano wewe hayo mambo hayakupendezi lakini wako wanaoyapenda.mfano ndo namna mume anatak awe anamwona mkewe hivyo?
So huwezi kuwasemea watu wote kwa ujumla
 
Sasa hapo si inategemea na mtazamo wa mtu na mtu, mfano wewe hayo mambo hayakupendezi lakini wako wanaoyapenda.mfano ndo namna mume anatak awe anamwona mkewe hivyo?
So huwezi kuwasemea watu wote kwa ujumla

sidhani kama kuna mwanaume wa hivyo. Ni kwamba wanavùmilia tu
 
Mwanamke ni lazima ajirembe ndio uanamke wenyewe afe simba afe masai hiyo siyo kitu ya kuuliza...
 
Hapana coward ni yule anaona anakuwa intimidated na uwezo au muonekano wa mwingine.In this case anaogopa mke wake akipendeza ataibiwa au lengo la mwanamke ni ku attract mwanaume.
Kuvaa vizuri au kujiremba ni vitu mtu anafanya kwasababu anajipenda na anajali muonekano wake kwa watu wengine.
Urembo ni ku enhance beauty au uzuri ambao tayari upo na sio kutojiamini.
Sema tu unapenda muonekano natural na sio enhanced,sio kuanza kuita wanawake wanaojiremba wana ushetani.
Hivi kujiremba kunahusisha kujichubua?
 
Back
Top Bottom