Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Ni kunuka jasho.Hivi kwani wewe ukizungumzia uzuri asilia una maanisha nini? Hebu tuanzie hapo ili twende sawa.
Ni kunuka jasho.Hivi kwani wewe ukizungumzia uzuri asilia una maanisha nini? Hebu tuanzie hapo ili twende sawa.
Primitive mind.
Kwa hiyo ni ngumu aisee kwa sababu mwanamke asili yake ni urembo.Ni kunuka jasho.
mi na wewe tunapotofautiana ni kwenye simba akina baba na yanga akina mamaKuwa na msimamo basi!!
Natural beauty ni adimu sana hapa nchini. Unaoa dada mweupee ukiinua kikwapa chake cheusi utadhani mkaaTuma picha mkuu kama kweli natural hehe
Ukiwa na Mwanamke asiye penda Meza yake (Dressing table) ipungukiwe na kitu, fahari kwake ni bandika bandua..Hii dressing table ndiyo chanzo cha migogoro ndani ya ndoa. Kwanini ?
1. Huyu mwanamke alikudanganya kimuonekano siku ya kwanza ulipomuona. Ulidhani ana ngozi laini ama rangi fulani kumbe ni dressing table. Ukija kuifahamu ngozi na rangi yake kamili kuwa iko viwango vya chini ya vile ulivyojiwekea moyoni, tayari kipande cha upendo humegeka. Mgogoro unaibuka.
2. Hii dressing table ni meza ya kutafuna hela, sawa kabisa ama kuzidi gharama ya kusomesha mtoto English medium schools. Kila iitwapo leo hela inapukutishwa na meza hii ? Siku ukiwa huna fedha za kuijaza meza hii itakuwaje ? Mgogoro unaibuka. Ukisikia wanawake humu wakisema kuna wanaume wana mikono ya birika, wanailenga pia meza hii.
3. Meza hii malengo yake ni maovu. Huyu mtu umekwisha muoa tayari, sasa sabb za kumiliki vichupa vya rangi tofauti kama fine-artist ni zipi ? Mabachelor wanafanya hivi ili wavutie, kisha wanase. Huyu wa kwako naye ?
Basi ukiona hivi, huyu mkeo ana ushetani wa kuendelea kupendwa na wengine. Ànataka kunasa mtu mwingine. Ndiyo.... Ndiyo motive behind ya kuwa na machupa mengi kama bwana mifugo. Maana kama ni mapele ana mabaka usoni wewe mumewe umeyaona.
Hebu ewe mwanaume, jiulize: mkeo matiti yamelala, halafu yy anahangaika kutumia sindiria zenye vifuu vya nazi ama kigodoro ili yaonekane yamesimama. Aonwe na nani ili iwe nini ?
Mkeo hana makalio na umempenda jinsi alivyo lkn ànahangaika kuvaa skini tight zilizoshonewa hips za vigodoro ili akivaa aonekane ana hips. Aonwe na nani ili iwe nini ? Mkeo hajaridhika na wewe ama amekuchoka au ana hulka ya ukahaba.
Wahenga walisema mwanamke mwenye kujilemba hupenda na kulambwa pia
Amka mwanaume, hakikisha mkeo ana nawa uso kama wewe, una share naye mafuta yako ya mgando na ile losheni yako uliyonunua ukiwa bar. Cha nyongeza kwake iwe kitana kikubwa cha kulazia nywele tu.
ONYO: ushauri huu unafanya kazi kwa walio kwenye ndoa tu.
Rangi yakoNi kunuka jasho.
Duuuh ! I wish ungeandika wewe mada hii ungeiweka vizuri zaidiNot exactly....mwanamke mweusi hatakiwi kuwa na michupa ya mikorogo na vitu vya hovyo visivyo na maana mwilini mwake. Perfume, deodorants, na mafuta ya kupaka mwilini pamoja na poda sawa ila hivi vingine ni kuiga tu na kuficha makovu mwilini.
Kupaka mkorogo siyo kutunza ni kuharibu.Kitunze kidumu.
Naomba mungu mwanamke wa hivi tupishane naye round aboutUkiwa na Mwanamke asiye penda Meza yake (Dressing table) ipungukiwe na kitu, fahari kwake ni bandika bandua..
Ikiisha KAROLAITI..linawekwa kopo la Afro Hair.
Na mwanamke huyohuyo yeye ndie mpenda Mapishi, mkali wa KUKALANGIZA (msemo wa watu toka kanda ya ziwa) fahari kwake akienda Sokoni ama Super market ni mpaka fedha imuishie mkononi..
Mwanamke mwenye Tabia hizi mbili, atakucheleweshea sana MAENDELEO..
Soma vizuri mkuu kuna kitu utakipata. Pitia hata maoni ya wachangiaji ujifunze kituUmefilisika kimawazo
Hii kasumba ya kukataa asili zetu tuiache. Hivi kubadili rangi ndiyo ujanja ?Acha ushamba!
Ata wanaume nao wana dressing tables siku hizi....
Asante kwa kuwa na jicho la kuuona ukweliMtoa mada yupo sahihi kabisa