Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Ewe mume usiruhusu mkeo kuwa na "dressing-table"

Naunga hoja mkono, kwangu ninachotumia mm ndicho wife anatumia, ata Pafyum, ukimnunulia ya kike aitaki anapenda za kwangu plus losheni, sinaga gharama mm.
Si ulioa tom boy.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umeona sasa ? Unarudi pale pale kwenye hoja yangu. Kula umekula na kula umelala. Eti huduma ni kununua hiyo mirangi. Kama una sura mbaya vumilia tu ndiyo mungu aliyokupatia hiyo. Sasa unafikiri utajipapaka mpk lini ?

Huduma ni zote pamoja ni hizo atakazopendelea mwanamke... ndiyo maana ikasemwa kwa shida na raha... kama anataka raha mpe raha...


cc: mahondaw
 
Kuanzisha drama za kishamba, ili kuonekana wewe ndio mkuu, ni upopoma. Ukuu unakuja automatically, ukisikia mwanaume anasema 'unajua mimi ndio baba' jua huyo keshapoteza mwelekeo - ubaba hauji kwa kushindwa kuhudumia dressing table.

Mwanaume haujiamini, kwamba mkeo akijiremba basi analiwa nje - akili za vibamia hii. Hawa mabinti ni 'pambo' bwana, muda wote lazima wawe nadhifu, scent nzuru, ukitembea nae kajipiga mapoda hata wewe kidume kifua kinakua mbele, sio binti unakuta manyusi yametapakaa kila kona ya jicho, unakuta binti ananuka harufu ya feri. Boss sambaza matunzo kwa huyo mlimbwende, sifa za kung'aa kwake zinarudi kwako.
Bora aisee umemfumbua macho.
 
[emoji3][emoji3]stegemei ukinzane na huu uzi, maana ukikinzana nao utakipata cha moto.

Naweza nikakinzana na huu uzii... kwa sababu mahondaw wangu... hanaga habari za makeup kabisa... she is natural and beautiful to the maximum... but her dressing table is well...


cc: mahondaw
 
Ukiona mtu anashutumu jambo fulani na kusema ni anasa ujue hana uwezo nalo... mtu huyo huyo akipata uwezo utamuona anasifia na kuona kawaida...


cc: mahondaw
Si kweli mkuu, yaani hata mwanaume awe na hela kiasi gani hawezi kuruhusu mkewe avae makalio bandia, avae ngozi bandia, awe na harufu bandia, awe na bikra bandia, awe na matiti bandia. Kila kitu bandia. Kaaaah !
 
Bora aisee umemfumbua macho.
Si kweli. Wenye hela na wanaojua kuzitafuta hawafanyagi ujinga huo. Wanaohangaika na uzuri bandia ni wale wenye vipato vya chini kabisa. Kwahiyo wala msisingizie kwamba wenye hela wao hufanya
 
Si kweli. Wenye hela na wanaojua kuzitafuta hawafanyagi ujinga huo. Wanaohangaika na uzuri bandia ni wale wenye vipato vya chini kabisa. Kwahiyo wala msisingizie kwamba wenye hela wao hufanya
Hivi kwani wewe ukizungumzia uzuri asilia una maanisha nini? Hebu tuanzie hapo ili twende sawa.
 
Si kweli mkuu, yaani hata mwanaume awe na hela kiasi gani hawezi kuruhusu mkewe avae makalio bandia, avae ngozi bandia, awe na harufu bandia, awe na bikra bandia, awe na matiti bandia. Kila kitu bandia. Kaaaah !
Unawaza hivyo kwakuwa hauna, wenzio ndio wanagharamia hizo indian hairs etc, sema wewe hauwezi ila sio "mwanaume hawezi".
 
Si kweli mkuu, yaani hata mwanaume awe na hela kiasi gani hawezi kuruhusu mkewe avae makalio bandia, avae ngozi bandia, awe na harufu bandia, awe na bikra bandia, awe na matiti bandia. Kila kitu bandia. Kaaaah !

Ukishakuwa na pesa, hivyo vitu hata huna muda wa kuvifuatilia... wewe unajua kutoa pesa tu... watoto wamevaa nini, mke kavaa nini, mara nyingi unakuwa huna habari na hizo issue.. wewe unaumiza kichwa usifilisike... hao unaowahudumia wao ndiyo watafanya hayo yote...


cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom