My dear MwanajamiiOne, huu msemo wa "Unazeeka na Utamu wako" huwa unaniuma sana hasa nikutanapo na wenye ring zao vidoleni.
Sijampata mwenye mapenzi ya dhati!
Duuuuhhhh,
pole sana mjukuu wangu. I can feel your pains. Kwani ukijiuliza wenye rings wanakuzidi nini unaishia kupata kizungu zungu!
Babu DC!
Khaaaaaaa...na wewe! Nimeipenda signature yako.... Smilesijaolewa kwa sababu sijaolewa
Swali lako zuri. Hatujaolewa kwa sababu zifuatazo
Swali lako zuri. Hatujaolewa kwa sababu zifuatazo
Kujiendeleza kielimu unakuja shangaa muda umepita umekuacha hapo na degree zako
Kujiamini kupita kiasi hali ambayo inawafanya wanaume kuogopa kuwa na mahusiano nawe
Migration- moving from one place to another kunachangia kupoteza watu ambao unawafahamu au wanakufahamu kwa karibu zaidi.
Wanaume wamekuwa wachache kulinganisha na wanawake
Ni hayo tu kwa sasa nitaongezea baadae.......
Tena ukute hao wenye ring mimi hawajanizidi chochote, basi tu kimuhemuhe na kisebusebu changu.
Haya babu mkali Dark City nimekuelewa.
Pole sana mdogo wangu....
Kama Mungu alikupangia wako atakuja tu...ila na wewe uongeze kujuhudi katika kutafuta..
Babu DC!!
Asante Babu, ila mie kutwaa niko kwenye Ma-bar napoteza mawazo nikitoka hapo narudi home,nitakutana nao mda gani?
waoaji majanga matupu...