Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Hongera sana
 
Naamini wife yuko mbioni kulipa kisasi kama hiki. Na mimi nimemtegea afanye kosa kama hilo. Atabeba makosa yangu yote
 
Kwahiyo mkeo ameliwa mkuu?..na unaendelea kulala nae kitandana kimoja..Hell nah.

Sema kwa sababu hii ni chai basi acha nikanunue mkate na blueband
 
Nilimkuta I kama alivyozaliwa baada ya mtoto wa watu kujisitiri

Kumbuka kuwa Huyu alikuwa mke wa Mtu tayar lkn mtoa mada alimkuta mtoto wa watu kujisitiri..


Uchumi wa Kati
 
Ulikula mtandao pendwa? kama umekamilisha hilo hapo utakua umekamilisha kisasi
 
Mke wa mtu umemkuta kama alivyozaliwa?!
 
Mnavyopeana mimba nini maana yake?

Kwamba mnatafuta mtoto aliyezaliwa kutokana visasi vya wazazi au

Tuheshimu watoto ht kama hawana kauli.

Kisasi akisaidii,mwanamke/mwanaume hayupo mmoja Na sio lazima muendelee na mahusiano.
 
".....mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa..." mwisho wa kunukuu.

Bahati mbaya sasa kuna joto, ninywe sharubati ndio inafaa.
Kwa kweli hii chai hata Mimi siwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mke wa mtu halafu umemkuta kama alivyozaliwa......

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ahahaha..hebu ngoja nijifanye kam hii sio chai kwanza..

Sasa mkuu huyo mtot akizaliwa sijui utakua unajiskiaje ukiwa unamwangalia...ZAO LA KISASI...dah...
 
Unajichanganya kusema mke wa mtu umemkuta anajitunza yupo kama alivyozaliwa! Kwamba ni bikira Ama! Anawezaje mke wa mtu kuwa bikira? Na Kama sio bikira, anakuwaje kama alivyozaliwa!!!
 
Alijifunza nini mke wa mtu anajitunzaje?
 
Hahaha nyie mnatakiwa mjengewe sanamu zenu katika bara la Asian Wakuu
 
umelipa kisasi sawa je umefikiria maisha ya huyo kiumbe ajae yatakuwaje vp akinyongwa pindi jamaa akijua

we na huyo mwanamke mna matatizo bora mngechepuka bila ya kuleta kiumbe
Unanitisha mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…