Every dad's worst nightmare!

Every dad's worst nightmare!

Hivi mtu unawezaje kumpiga mwanao namna hiyo?

Mi kumgombeza tu siwezi seuze kumpiga?

Ninayempenda kamwe siwezi kumpiga - awe mtoto au mwenza.

Sipati kabisa picha eti nampiga Kisura! Nitaanzia wapi kwanza!!
Hehehhe kupiga mtoto sio dhambi chief,unamfundisha...Acha usimpihe uone product utakayotoa,asiejua tofauti ya jema na baya
 
Naona unajifariji..muosha huoshwa mchezo hauhitaji hasira, tulia tuliii vijana watapakua tu..

Hata wewe unajifariji tu maana si kila mwanamke ana tabia kama yako au fikra kama zako.

Kama wewe unapakuliwa hovyo na vijana, wazee, na vibabu hiyo haimaanishi wanawake wengine nao wako kama wewe.
 
Hehehhe kupiga mtoto sio dhambi chief,unamfundisha...Acha usimpihe uone product utakayotoa,asiejua tofauti ya jema na baya

Ninayempenda siwezi kumpiga. Tunafundishana na kuelezana kistaarabu na tunaelewana.
 
Hata wewe unajifariji tu maana si kila mwanamke ana tabia kama yako au fikra kama zako.

Kama wewe unapakuliwa hovyo na vijana, wazee, na vibabu hiyo haimaanishi wanawake wengine nao wako kama wewe.
Hahahahah sio mim mkuu,dunia Ina majaribu sana, Licha ya kumuombea mtoto inabd umdiscipline sana kujua jema na baya, vyuoni hata wenye maadili mema wanapata ujauzito sembuse wengine, tumepita huko changamoto ni kubwa sana..
 
Hebu tupate tangazo kutoka studio kisha tutarudi madani plz!

Hahahahah sio mim mkuu,dunia Ina majaribu sana, Licha ya kumuombea mtoto inabd umdiscipline sana kujua jema na baya, vyuoni hata wenye maadili mema wanapata ujauzito sembuse wengine, tumepita huko changamoto ni kubwa sana..

Kwani akiwa chuoni na kupata ujauzito ni dhambi?

Nani aliye dunia hii ambapo mama yake hakupata ujauzito?

Na mtu kupata ujauzito haimaanishi ndo hana maadili mema.

Hivi unajua hata maana ya maadili mema wewe?
 
Hayo ni mawazo ya hapa Africa,kule marekani ni kawaida na hayo ndo maisha yanayotakiwa ili uonekane kuwa unafit kwenye jamii!
 
surely, it is a losing battle...i am trembling, thinking of my little princess
 
Mada imenigusa.Kila Mara huwa namfikiria binti yangu.Itakuwaje atakapobarehe?Atanisikiriza tena kama sasa?Katika yote hayo sipendi hata kidogo kuwaza kuwa atamvulia chupi mwanamume.daah, so sad.
daar unamawazo kama yangu huwa nafikilia hivyo
 
Ajapata DUDU WASHA huyoooo kila saa yupo kweny maconsent tuuuuuh ndo maana kama kawehuka ikipta drip mbili tuuuuuh ataponaa
 
Baada ya hapo akirudi home unamuonesha hiyo clip na kumwambia "... ah mwanangu hapa ilikuwaje ukajiachia vile"

Sikia jibu lake ...!
 
daar unamawazo kama yangu huwa nafikilia hivyo

Mbona mabinti wa wenzenu hamuwafikirii munapowavua pichu? Au mnafikiri na wao hawana baba? Au mnadhan baba zao wanapenda wakisikia mnawavua pichu watoto zao? Mwosha huoshwa, kama mnavyowavua mabinti za wenzenu ndivyo na ninyi wa kwenu watavuliwa vivyo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom