Eva soap

Eva soap

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Ova
IMG-20190728-WA0004.jpg
 
Halafu sijui kwa nini walimchagua Eva katika wooote!
 
Sabuni pekee inayouza sana miaka nenda rudi bila kuwa na tangazo kwenye vyombo vya habari
 
Hako hata wanaume wachepukaji, wakienda hoteli hawaogei hiyo sabuni, harufu yake hadi home anaweza kukamatwa na my wife wake!!!!
 
Huyo Eva angekua na uwezo wa Kuongea angeongea mambo yetu mengi sana daah..!!
 
Back
Top Bottom