Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 501
- 990
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.
Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10).
Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa.