Europen girl friend

Wazungu hawawapendi wabongo kwa sababu vitumbo, hakikisha huna tumbo hata kidogo, bali kifua ndo kiwe mbele, na usiwe na misuli mikubwa kama baunsa, uwe tu smart, pia tabasamu na usiwe na jeuri, wazungu wanatongozwa kwa tabasamu na sio style za kutongozana kibongo.
kama uko hivi basi uwe unaenda sehemu za kitalii, jaribu mara kadhaa, haifiki mara tatu utafanikiwa
nenda Kigamboni, Zanzibar, kwenye Bar za waliko wazungu Dar, anza maongezi kwa ucheshi au kiomba sigara, au kucheza pamoja, lakini respect.
 
Toa specifications mkuu, unataka kutoka Rusia, UK, Spain, Germany au wapi? Je awe mrefu na hips kidogo au mfupi? Tuweke sawa mkuu tukurahisishie kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom