SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
Dogo wa RB LeipzigHuyu Olmo anajua mpira sana, Italy wasipomchunga ataleta madhara tena
Dogo wa RB LeipzigHuyu Olmo anajua mpira sana, Italy wasipomchunga ataleta madhara tena
Kweli, mimi naamini bingwa atakuwa Italy. Lakini yeyote atakayepita hapa ndo bingwa.Hii geme naona ndio itaamua bingwa yaani mpira mtamu aisee mno unapigwa mpira hatari
Pengo la Leonardo Spinnazola limeonekanaAlways Mancini anafeli kwenye sub
Sijamuelewa belard
Kumtoa insigne
Kumuingiza belloti
Italy tumepoteza morale yote
Huyu italy sijui Kama watapona leoKweli, mimi naamini bingwa atakuwa Italy. Lakini yeyote atakayepita hapa ndo bingwa.
ET 108' Italy 1-1 SpainNgapi ngapi...na dk ya ngap wakuu
1-1.Ngapi ngapi...na dk ya ngap wakuu
Wanakosa magoli ya wazi wakitolewa watajilaumu sanaSpain wanakosa sana magoli
Nimezoea kuangalia American sports!Mkuu unawaza overtime sana 😀, ni Extra time.
hiyo ilikuwa ya 98 sio 108ET 108' Italy 1-1 Spain
Nshaanza kusinzia mkuuhiyo ilikuwa ya 98 sio 108
Unasimziaje match inaenda mwishoni?Nshaanza kusinzia mkuu
Uchovu tuu, leo nacheki mechi mwenyewe sina kampaniUnasimziaje match inaenda mwishoni?