Bonge la mechiMsisahau baadaye kuna nusu fainali kati ya Argentina na Colombia kule kwa Copa America…
VAR imefeliMkongwe kanawa ndani ya boksi
So far so good..My prediction
1-1..
Italy to win by penalt shootouts.
Yeaaah, ulitabiri vemaSo far so good..
Hata mie nimempa A+ kwa uamuzi huo.Credit kwa refa kwa kuamua isiwe penati
Nahisi wameamua kutimia busara ila ile ni penati ya waziVAR imefeli
Ila refa angekuwa Muingereza pale najua wote tunajua nini kingetokeaHata mie nimempa A+ kwa uamuzi huo.
Japo naona wazee wamechoka sana pale nyumaBado Nampa Italy nafasi