Hawana straikaSpain hawajui kufunga magoli!
Huyo Morata hao akina Bonucci na Chiellini wanamjua vyema sanaDah Spain wameupiga mwingi sana leo
Wangeanza tu na Morata
Na yeye anawajua vyemaHuyo Morata hao akina Bonucci na Chiellini wanamjua vyema sana
Tayari kasaini na P$GHuyu Donnarumma hana timu, Wazee wa simba fanyeni jambo manura kazeeka.
Kwanini mnawasahau sana Denmark?Italy wanastahili kutwaa ubingwa lakini soka ulivyo mchezo wa kikatili utashangaa mabingwa Waingereza
Unajua wamefunga magoli mangapi hadi sasa?Spain hawajui kufunga magoli!
PSG washaandaa mafaili ya kumsainisha muda si mrefuHuyu Donnarumma hana timu, Wazee wa simba fanyeni jambo manura kazeeka.