nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,038
- 3,087
Hakuna hofu ndugu, Spain atakufa tuNaona supporters wa Italy hofu tupu
Hakuna hofu ndugu, Spain atakufa tuNaona supporters wa Italy hofu tupu
Usijari tupo pamoja, wazee wanampiga vizuri tuBado nina imani na wale wazee, ngoja nisubiri dk zilizobaki
Daaah kweeeeliiiiiSpain anagongwa vizuri tu fungua kinywaji ntalipa.
Imani yangu kwa wazee bado ipoBado nina imani na wale wazee, ngoja nisubiri dk zilizobaki
Hatari hao ndio mabingwaGoli la akili sana kuanzia kwa Donarumma
Aliyetunga sheria ya ushindi ni magoli, Mungu anamuonaHii inaitwa nyie chezeni mpira sie tunafunga magoli