ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,644
- 3,277
Kabisa aisee kwenye qualification hawajapoteza mechi hata moja played 10 won 10Hawa jamaa huwa ni dark horses. Muda ambao watu hudhani hawana kitu huja na sapraizi...
Kabisa aisee kwenye qualification hawajapoteza mechi hata moja played 10 won 10Hawa jamaa huwa ni dark horses. Muda ambao watu hudhani hawana kitu huja na sapraizi...
Sema pia kuna best loserEngland japo naona kund lakifo apo Hungary, Portugal, France, Spain
Key players wa Italy walau watatu
ENGLAND
Alifika nusu fainali mwaka 1996 katika michuano iliyofanyika pale pale kwao tena wakitolewa nusu fainali na Wajerumani huku Gareth Southgate kocha wa sasa akipaisha mkwaju wa penatiLini amewahi kuwa bingwa? Kufanya vizuri kwa England ni kucheza robo fainali
Kundi la kifoBingwa anatoka kundi F
Usikariri Mkuu eti kwakua walikua hawafanyi vizuri ndo uumtoe kwenye ubingwaLini amewahi kuwa bingwa? Kufanya vizuri kwa England ni kucheza robo fainali
Usikariri Mkuu eti kwakua walikua hawafanyi vizuri ndo uumtoe kwenye ubingwaLini amewahi kuwa bingwa? Kufanya vizuri kwa England ni kucheza robo fainali
Belgium ndo timu Bora kwa Sasa according to FIFA rankingsITALY ndio timu bora duniani kwa sasa, Ila dunia nayo ina maajabu yake kwahiyo lolote laweza kutokezea, Lakini ki standard ya uwezo ITALY ndio Top.