Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Salama wakuu,

Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.

Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020.

Pia kutokana na Corona, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.

Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi 11 tofauti na michuano ya kawaida ambapo nchi mwenyeji huwa ni mmoja tu. Wamefanya hivyo katika kuadhimisha miaka 60 ya michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa ngazi za timu za taifa.

Tukirudi kwenye swali letu, Kuelekea michuano ya Uefa Euro 2020, timu gani unaipa kutwaa ubingwa huo? Karibuni.

Group F ni balaa bin baradhuri.

Vv
 
Very complicated tournament, ngumu sana kutabiri bingwa atakuwa nani timu nyingi kubwa hazitofauti sana uwezo.

  • Germany
  • France
  • Italy
  • Spain
  • England
  • Portugal
  • Belgium
 
Alifika nusu fainali mwaka 1996 katika michuano iliyofanyika pale pale kwao tena wakitolewa nusu fainali na Wajerumani huku Gareth Southgate kocha wa sasa akipaisha mkwaju wa penati

Hizo ndio rekodi na mafanikio yao. Jamaa wanabebwa na media tu lakini uwezo hamna kabisa.
 
Back
Top Bottom