Its Me Sir...
Hands shakes.
Still ilikuwa ni Game ngumu kwa pande zote mpaka dakika ya 59 but kupata Jeraha Thiago Motta kumepelekea timu ya Italy kupwaya na pia Spain kutumia upungufu huo wa wachezaji 10 uwanjani kuutawala mchezo kwa ujumla na kupata magoli mawili ya ziada.
Kwa yoyote mwenye utimamu kichwani atagundua tofauti ya Italy walivyokuwa 11 na walivyobaki 10.
pia Italy tuliweza kutengeneza nafasi lakini tukashindwa kuzitumia.
Nimesikitika kusoma kauli za ndugu zangu ambao huwa nawaamini sana ktk maswala ya uchambuzi wa mambo mbalimbali eti leo hii wameandika ''BORA WANGEINGIA FAINALI UJERUMANI''...
Dah kauli hiyo imenisononesha sana na kuamini kuwa sio woote watakaoita ''BWANA'' basi watauona ufalme wa Mbinguni...
All in all Hongera Gutierez hongera Mamammia na washabiki woote walioanza na Spain na wamemaliza na Spain...
Hakika mmenishikisha Adabu.
Kwa niaba ya fundi mitambo Obby Mwambungu... Ndugu zangu Companero na Myao wa Tunduru tunasema hongereni Spain, mmecheza vizuri na mmestahili ushindi.
Kutoka hapa somewhere unknown ni mimi Shabiki nguli na muumini wa Soka la Italia Gang Chomba sina la ziada nawarudisheni Studio Pugu Road kwake Nadhir Mayoka kwa ajili ya matangazo Mengine.
Late surge earns Torres adidas Golden Boot
Fernando Torres's goal and assist in the closing six minutes of the UEFA EURO 2012 final win against Italy were enough for the Spain striker to take the adidas Golden Boot award.
Fernando Torres scored one and set up another in the closing stages of UEFA EURO 2012 to take the adidas Golden Boot award.
Torres finishes tied with five other players on three goals for the tournament, with he and Germany's Mario Gomez also on one assist apiece. The Spain striker, a second-half substitute in the 4-0 final win against Italy, takes the top-scorers' honour having played fewer minutes (189) at the finals than Gomez (282).
When players finish level on goals:
The following criteria are applied, in this order, to determine who wins the adidas Golden Shoe:
a) highest number of assists;
b) fewest minutes played.
NB: Only goals scored in normal or extra time count towards a player's tournament total penalties scored in a shoot-out do not.
UEFA EURO 2012 final tournament top scorers
3
Fernando Torres (Spain)
Mario Gomez (Germany)
Mario Balotelli (Italy)
Cristiano Ronaldo (Portugal)
Alan Dzagoev (Russia)
Mario Mandukić (Croatia)
sio bluu bluu tena bali ni wekundu wa spain,:israel: karibu sana kaka,pole kwa kichapo,namba 1 wa soka duniani tupo na tunazidi kuwepo,msalimie Gang Chombahizi ni dhambi za kujitakia!mziki wa buluda santuri mia nane!hao spain wanapigika dimbani mpaka nje ya uwanja....blueprint ya kuwatandika tulishaonyesha katika mchezo wa kwanza.forza azzuri!
Hongereni washabiki wote wa Spain,kweli wamecheza vizuri na ndio maana wakaibuka kidedea.
Inachonifanya nisiwapende hili Taifa kwa upande wa soccer ni UBAGUZI wa rangi walionayo tu!
Yani imenifanya niwachukie kwa upande wa soccer kbs!
Ila hakika wanakipiga soccer haswa!
wapo wengi wazuri kina munian,mata,iraola nk spain kuna vipaji sio soka la mdomoni kama england,miaka ya nyuma tatizo wachezaji wa spain wengi walikuwa wanatoka timu ndogondogo eg zaragoza,bilbao,betia,athletico madrid,timu za barca na real madrid zilikuwa zinaundwa na wachezaji wageni wengi enzi hizo ndio maana spain haikutamba ila sasa real madrid na barca zinachezesha zaidi ya wachezaji wa3 ktk 1st eleven kila 1,sasa wewe jiulize kuna wachezaji wengine muhimu sana ila hawamalizi dk 90 eg silva,fabregas,pedro,jesus navas,cazorla nkAmbapo Xavi na Iniesta watakuwa wametundika madaluga yao.
kaka inabidi nikuletee mwinyi mpeku akupe maneno,jiulize hao ujerumani wameshafungwa mara ngapi na spain tena final euro 2008,na semi final world cup 2010,wamewashindwa italy ,usilaumu kufungwa 4-0,spain wanajua kaka,siku wakikuelemea ni dhahama kubwa,mimi siwalaumu italy ila jana walizidiwa hata hao ujerumani nao siku wakizidiwa usije shangaa labda nao wangekula hata 5-0,spain ni bora kwa soka sasa duniani utake usitake,wapende wachukie.Spain size yao Germany chief.....Hawa Italy sio level ya Spain.......Pia Thiago Motta kawagharimu
waspain sio wachonga domo kama waingereza mjomba!Hawa Hispania wataongea sana...
Pirlo mzuri namkubali sana,ila jana kakutana na mbingwa wa kati pale xavi,iniesta,alonso,busquets,silva na fabregasSio ww tu...
Dunia nzima inatambua hilo.
Pia Gutierez anakiri swala hilo hadharani
No comments,ni vitendo tu!,karibu sana.Haya mzee wa Spain, lets see tar 1 itakuwaje. Nadhani washabiki wa Arsenal wamejua kiwango cha jamaa yao mpya waliyemsajili, basically Wajerumani walimezwa kabisa dk 45 za mwanzo, ukiondoa dk chache sana za mwanzo. Mipira ilikuwa haikai mbele kabisa, I think kocha alitakiwa afikirie sub ya Podolki mapema zaidi. Poor marking pia ilikuwa tatizo lingine kubwa kwenye defence ya wajeru. Mario Gomez alikuwa hayupo kabisa kiwanjani. Technically Italy walicheza vizuri na wamestahili ushindi.
Kumekuwa na malalamiko kuwa style ya tic-taca katika uchezaji wa Spain inaboa, wanalembalemba sana mpira na chenga nyingi. Kuna waandishi wa habari wanadai kuwa kwa style hii kocha Del Bosque anaua vipaji vya vizazi vijavyo na kusema kuwa mpira ni ule unaochezwa na Ujerumani, mashuti ya mbali na kutumia nguvu katika mashambulizi na sio mchezaji anampiga chenga hata kipa ndio afunge.
Nini maoni yako. Ningependa kusikia maoni ya Mkuu Nzi na wengineo.
Ninakubaliana nawe kabisa Mkuu. Mpira unahitaji zaidi maarifa kuliko nguvu, kujua udhaifu wa mshindani wako na kuutumia ipasavyo. Del Bosque alilaumiwa sana kutia kikosi kile kile kilichocheza na Italy na kutoka sare ya 0-0. Kwenye mechi ile Del Bosque alijifuza mengi na kuamua kutumia udhaifu aliouona kule kuja kuwamaliza Wataliana.Hao wanaocheza mpira wa nguvu na kupiga mashuti ya mbali wapo wapi? Wamechukua vikombe vingapi? You can not play kwa kutumia nguvu wakati wote kwani come the final when it matters wachezaji watakuwa wamechoka. Angalia kilichowatokea Ujerumani na minguvu yao. Mpira ni kutumia akili na siyo nguvu tu. Just make you opponent run around in circles and when they are tired you hit them hard. Game la jana ni kielelezo tosha of how football should be played.
No comments,ni vitendo tu!,karibu sana.