Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
duu kesho asubuhi na subiri majibu..
heshima zenu bala na the don gang chomba
Akipiga lazima akose kama ilivyokuwa game ya RMA na Bayern Munchen...Kama watapiga Penalty basi RONALDO asipige hata moja.....
Hahaha! Kuna mwandishi wa habari wa Spain amesema hivyo hivyo, for the sake of Portugal.Kama watapiga Penalty basi RONALDO asipige hata moja.....
I hate penalties......Najua unafurahia sana penalties kwa sababu ya wataalamu waliopo Spain......Plus Casillas golini...Hatimae tunaingia katika matuta. What a game!