Game ya leo akili inatofautiana na Moyo... Mapenzi yangu ni CR9 kushine and hence PORTUGAL washinde... Lakini akili yangu inajua kabisa Uwezo wise SPAIN are better team than Portugal So they are most likely to win... So moyo unataka POR washinde na Akili inajua kuwa SPA watashinda.... Mungu ibariki POR...
Mie katika hizi mechi za kimataifa za soka huwa sitaki kuzikosa nyimbo za Taifa. Pamoja na kuwa sielewi maneno yake na nini zinamaanisha lakini nafurahia kuona reaction ya wachezaji kama wanaimba, wanatabasamu n.k. Uko kipande gani leo BJ? Ureno?

Mammae CR9.... Am sure leo atakimbiza saan..... Koz hakuna njia ya kuwadhibiti hao jamaa.... tatizo ni Jordi Alba nae ni mzuri sana... na ana Pace pia...
Bala hii nahitaji kuweka wazi... Mie ni kwa game ya leo tu..... Personally nipo GER.... Ila kwa hii game Moyo wangu upo POR na Akili ipo SPA.....I wish u all the Best kaka...
Mimi ni kwa Portugal......Chama langu la miaka yote hili....Tangu enzi na enzi....
Enzi za akina Victor Baia, Manuel Rui Costa, Jorge Costa, Joao Pinto, Ricardo Sa Pinto, Jorge Andrade, Nuno Gomez, Simao Sabrosa, Pedro Pauleta, Abel Xavier, Sergio Conceicao, Luis Figo, Fernando Couto,Rui Jorge na wengine.....