Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
ITA hawajamaliza SUB kweli?????
Jamaa yuko kwenye kiwango cha juu kweli...Andrea Pirlo ndie nampa "MOTM" award.
Wamezidiwa.....Wanatumia mbinu ya kudefend na kufanya counter attack......Wanaruhusu mashambuliziUingereza kama wanataka kwenda extra time au ndo kuzidiwa?!
Jamaa yuko kwenye kiwango cha juu kweli...