BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Netherlands, Spain, Portugal or Germany!!
Uko sahihi, mpira hautabiriki hadi filimbi ya mwisho. The most unexpected ni kuona tusiyemtarajia anabeba kombe na sio Ujerumani wala Spain.That was then and this is now. Mabadiliko mengi yametokea since the last World Cup so expect the unexpected!
Mie nadhani Uholanzi anaweza kuchukua ubingwa.
lina anza lini vile!!tv gani bongo itaonyesha![/QUOTE
Ijumaa poland. Vs greece na czech vs russia (mechi kali hii)
lina anza lini vile!!tv gani bongo itaonyesha![/QUOTE
Ijumaa poland. Vs greece na czech vs russia (mechi kali hii)
mkuu una maanisha ijumaa ya leo!!Mungu wangu almanusra nipitwe na hii kitu!!time ya mechi kiongozi!
Mechi ya kwanza saa moja na ya pili saa tatu.mkuu una maanisha ijumaa ya leo!!Mungu wangu almanusra nipitwe na hii kitu!!time ya mechi kiongozi!