Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Tokea 2010 England walipodhulumiwa goli lao dhidi ya Ujerumani mimi nilisema wanahitaji sana goal line tech lakini naona hii mijamaa ya FIFA iko nyuma sana.
Yaani goli la wazi kabisa jamaa wamenyimwa. Haki iko wapi hapo?
Ni bora basi waseme ni lazima nyavu zitikisike kama hawataki goal line tech maana hii ya mpira kuvuka mstari haiwatendei watu haki
Ubishi wako unaziumiza timu , na kufanya mpira/matokeo kuwa sio ya haki
Ila mwishoni hakuna jinsi watakubali tuu kuanzisha hiyo kitu
Quarter Finals : England vs Italy
Spain vs France
Kazi itakuwepo hapo
Labda wanajua wakileta goal line technology watashindwa kupanga mechi
Hapo ndio mwisho wa FRANCE na England
Ndo wanamili au wana hisa nyingi kwenye Betting Co's.... So Goal line Tech itaka ulaji
Tokea 2010 England walipodhulumiwa goli lao dhidi ya Ujerumani mimi nilisema wanahitaji sana goal line tech lakini naona hii mijamaa ya FIFA iko nyuma sana.
Yaani goli la wazi kabisa jamaa wamenyimwa. Haki iko wapi hapo?
Hapo ndio mwisho wa FRANCE na England
Au nyavu ziwe wazi nyuma ili bao likitoka upande wa pili lionekane - lol - Wamenikera sana!Ni bora basi waseme ni lazima nyavu zitikisike kama hawataki goal line tech maana hii ya mpira kuvuka mstari haiwatendei watu haki
Ndio BJ. Poleni sana, lakini kushindwa ni kupewa muda wa kujirekebisha. Naamini mzee wa timu Johan Cruyff ataingilia kati hata ikibidi kichwa cha mtu kiende.hivi Holland imeshatoka? siamini aisee..
Tena hawa France tumewakamia sana, hawaishi kutudhihaki kuwa tunatumia madawa ya kuongeza nguvu michezoni, iwe ni Tennnis, Baiskeli, Moto GP, kuogelea, kabumbu...michezo yote wanatushutumu. Kwa hivyo tunaingia na mihasira ya simba mwenye njaa - Aghrrrrrrrrrrr!!!!!Quarter Finals :
England vs Italy
Spain vs France
Kazi itakuwepo hapo