Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa>>>>>>> ronaldooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hahahahaha ... dah hili game leo linaonyesha kutakuwa na magoli mengi
 
Nani kapaki BASI???? BJ, OX & CO mnijibu.......Je Bado mna matumaini?????
 
Netherlands safu ya ulinzi inayumba sana, wanaweza kupigwa la pili muda wowote.
 
Yaani nimenywea kama nini..naona tunatolewa leo. wewe unashabikia timu gani? au neutral?
GErmany.... Ila kwa hapa nataka URENO ishinde..... Kuna Mshkaji jirani yangu ni M'NED anasumbua sana na ENGLISH yake ya magumamshi...
 
Huyu Kipa Wa DEN analamimika nini wakati replay inaonyesha hajaguswa????? Huu uongo wa dizaini hii huwa unanikera sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom