Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Spain asipoangalia leo anaweza kuchezea kichapo maana Ireland hatokubali kufungwa kwa sababu akifungwa tu anaaga mashindano.

Dakika ya 10: Spain 1 {Torres} - Ireland 0
 
hawa Ireland sijui ndo tusemeje tu..... Wakishinda watakua wamepigwa 3 na Shy Given ndo atakua Man of the match...
 
GOAL! Torres wallops a shot high into the net. Brilliant finish from the striker. Robbed Dunne of the ball and Given is beaten. Awful goalkeeping it must be said
 
Napita kwanza, nitarejea baada ya goli la nne (ndivyo alivyosema mganga wetu - 4 yai).
 
Imebidi nirudi kuwajulisha tu la 3 tayari. Bado moja.
Niño Torrrrrre!
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Fab sijui ana hasira gani tu.....
 
Nimerejea. Mganga wetu hakukosea. Likija la 5 nyongeza sio mbaya.
FabreeeeeeeGas!
España 4 - 0 Ireland
 
Nina hakika hawa wa IRISH kesho wakiambiwa kuna replay na Spain watachomoa.... This is the lesson on how to play FOOTBALL......
 
Kweli mpira raha, manake ukisikia huvyo wanavyoimba Ireland, utadhani wao ndio waloshinda.
 
IRELAND is the WEAKEST team in EURO 2012.... Game mbili imechapwa goli Saba,,, (I mean imepigwa Week)..... Na bado Waitaliano wanakuja kufanya mambo....
 
Wewe kiboko.
Tunguli zimejibu - lol

IRELAND is the WEAKEST team in EURO 2012.... Game mbili imechapwa goli Saba,,, (I mean imepigwa Week)..... Na bado Waitaliano wanakuja kufanya mambo....
Mpira ni mpira Mkuu, usishngae siku wakicheza na Italy wakafanya maajabu, japo ya sare ili waondoke kwa heshima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom