Dah ninasoma hapa kumbe Italy haijawahi kuifunga Croatia toka Croatia ilipojitenga na Yugoslavia
Viper simaanishi kuwa Croatia itaifunga Italy, ila nimeshangaa kuona kuwa Italy haijawahi kuifunga Croatiacookie hizo history acha zibaki vitabuni.. mpira unadunda mkuu
baloteli leo sidhani kama ataanza... jamaa ni :der:
cookie hizo history acha zibaki vitabuni.. mpira unadunda mkuu