EU kuunda jeshi lao

EU kuunda jeshi lao

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,949
Reaction score
38,700
Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021

Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza na hatua yake ya kujiondoa EU?

Umoja wa Afrika tunajifunza nini hapo?
 
Sijui kama unakumbuka Trump alivyowadhalilishakwenye kipindi chake ndio nao wakaja na hii idea. Pia wanaona US amekuwa akifanya maamuzi nyanayowagharimu bila sababu ya msingi mfano vita ya Iraq na issue Afghanistan.
 
Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021

Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza na hatua yake ya kujiondoa EU?

Umoja wa Afrika tunajifunza nini hapo?
Umoja wa Afrika ni wa kibwege Sana. Serikali Dhalimu zikiwa zinatesa watu wake, Au hukaa kimya na kupongezana.

Jeshi likifanya mapinduzi, huja na matamko lukuki ya kupinga mapinduzi hayo.

Swali. Je kwanini hawakukemea matendo dhalimu ya serikali ya kiraia dhidi ya wananchi?
 
Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021

Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza na hatua yake ya kujiondoa EU?

Umoja wa Afrika tunajifunza nini hapo?
Hii Idea nako ni ya kiboya tu,EU haiwezi kuwa na jeshi imara kutokana na nature ya nchi zao na watu wao
Kikubwa waendelee kumuabudu USA tu
 
Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021

Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza na hatua yake ya kujiondoa EU?

Umoja wa Afrika tunajifunza nini hapo?

umoja wa Africa unajifunza kukandamiza upinzani na kung'ang'ania madarakani
 
Umoja wa Africa hauna Cha kujifunza maana hata Budget yao kwa zaidi ya 70% wakapewa na mabeberu.
 
Back
Top Bottom