EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

02 December 2021
Brussels EU

All eyes on the new administration after the passing on of John Pombe Joseph Magufuli



The European Union foreign affairs committee sitting in Brussels, is reviewing Tanzania's current political situation , judiciary independence and the shrinking democracy, civic and media space in Tanzania under the leadership of H.E President Ms Samia Suluhu Hassan ...and further more the detention of Mr. Freeman Mbowe and several members of the opposition party CHADEMA in Tanzania..
 
Hebu rudia kusoma kama utaona hoja hapa
Ndio maana nikakwambia ubongo wako umegandamizwa...yaan huon hoja hapo? Hoja ni kwamba kma unataka kutuaminisha Tanzania Ina utawala wa sheria, mbona mama yako alitoa hukum kabla ya sheria?. Jibu hapo...
 
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua

Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,

Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?

CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?

CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?

Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya

Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi

Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia

Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe

Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?

Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania

Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?

Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?

CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii

Mnatuumiza sana sisi watu wa chini

Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu

Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers

Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu

Plze Brothers & Sisters STOP IT

WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.

Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe



View attachment 2030228

View attachment 2030229
Tulia wewe Wazungu wawafundishe maadili ya Utawala bora. "Free State" ipo South Arica tu, inaitwa Orange Free state.
 
OCD mmoja katika Wilaya 139 anaweza kujustfy hiyo hoja yako?
Ungewauliza wao mkuu. Mm nnachojua Tanzania hakuna polisi anayeweza kunusa harufu ya UGAIDI!
wala hakuna tukio lolote la magaidi hapa.
Walishindwa hata kujua mienendo ya bwana Hamza aliyekaa km toka ikulu wanawanalojua hao polisi zaidi ya kubambikizia case na rushwa???
 
Ndio maana nikakwambia ubongo wako umegandamizwa...yaan huon hoja hapo? Hoja ni kwamba kma unataka kutuaminisha Tanzania Ina utawala wa sheria, mbona mama yako alitoa hukum kabla ya sheria?. Jibu hapo...
Alitoa hukumu gani?
 
Ungewauliza wao mkuu. Mm nnachojua Tanzania hakuna polisi anayeweza kunusa harufu ya UGAIDI!
wala hakuna tukio lolote la magaidi hapa.
Walishindwa hata kujua mienendo ya bwana Hamza aliyekaa km toka ikulu wanawanalojua hao polisi zaidi ya kubambikizia case na rushwa???
Tukio la Hamza liliwaongezea umakini, That's why
 
Kwani Sheria za ajira kwa polisi zinasemaje?

Jina Mahita halitakiwi?
Za BOT zinasemaje mbona walijaa watoto wa wakubwa???
Za uuzaji wa nyumba za umma zinasemaje mbona nyumba za serikali ziliuzwa mpaka kwa mahawala na ndugu ambao hata hawakuwa watumishi?
Sheria za ajira za polisi zinakataza wasikaguliwe VYETI vyeo huku wengine wakitolewa kazini??
 
Mleta mada bora babaako angepiga punyeto tu kipindi anakukojoa
CHADEMA MMEKUTANA NA KITU KIZITO AWAMU HII,

CCM YA SAMIA USIPIME,

TUMEWASHIKA KILA KONA,

MMEBAKI KURIPOTI KESI YA MBOWE TU

HOJA HAKUNA TENA

#KAZIINDELEE
 
Za BOT zinasemaje mbona walijaa watoto wa wakubwa???
Za uuzaji wa nyumba za umma zinasemaje mbona nyumba za serikali ziliuzwa mpaka kwa mahawala na ndugu ambao hata hawakuwa watumishi?
Sheria za ajira za polisi zinakataza wasikaguliwe VYETI vyeo huku wengine wakitolewa kazini??
Haya bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom