Eti wenye mashine ndogo wako very romantic

Eti wenye mashine ndogo wako very romantic

Nikiwa na pesa kama milioni 50 na kuendelea hivi kwenye bank account yangu labda maybe naweza kua nimestarehe mahali napunga upepo ndio naweza kucomment na kuingia kwenye mijadala ya haya mambo ya ajabu
Punguza kiherehere,
 
Hahahaha haaaaalooooo unaonaje ukituacha sie maskini na mjadala wetu!!! Mxiiiiiuuuuuueeeeew
Nikiwa na pesa kama milioni 50 na kuendelea hivi kwenye bank account yangu labda maybe naweza kua nimestarehe mahali napunga upepo ndio naweza kucomment na kuingia kwenye mijadala ya haya mambo ya ajabu
 
Usidhani kila sehemu utakuta maji ndiyo maana hata ardhini kuna survey na kuna maeneo unaambiwa maji yako mbali na mengine utaambiwa maji yapo juu juu.
Wataalamu hata wakiambiwa maji yako mbali wanayatafuta mpaka wanayafikia wanayamwaga pwaa! Watu walishamwaga maji hadi jangwa la Sahara usiwatanie!
 
Mi ni fundi mwenye slow motion matendo yangu slow but kwenye motion
And handsome too! Ni wadada nimewasikia wakisogoa kwenye saluni nilipokuwa nanyoa leo. Mmoja katoa uzoefu wake na takwimu kabisa kuwa katika wote aliokutana nao ambao aliwaona gentle, very romantic and caring ni wale wenye vibamia.
Wadada wa JF mnasemaje?
 
Sasa ataachaje kuwa romantic na caring wakati ile ishu nyingine haitoshelezi? Yani ukose vyote.
 
Duh mwingine nimemwonesha huu uzi kwenye simu nilipoenda lunch, mdada huyo. Kasema eti hawa vibamia kwakweli wengi wao ni husband material lakini kwenye mambo mengine mwanamke unajiongeza kwa akili ya kike.

Wadada wa humu nifafanulieni, akili ya kike ndiyo ipi?
 
Back
Top Bottom