Hearsay is not admissible...hebu na wewe experience yako kwenye hilo!And handsome too! Ni wadada nimewasikia wakisogoa kwenye saluni nilipokuwa nanyoa leo. Mmoja katoa uzoefu wake na takwimu kabisa kuwa katika wote aliokutana nao ambao aliwaona gentle, very romantic and caring ni wale wenye vibamia.
Wadada wa JF mnasemaje?
Akili za kuambiwa changanya na zako.... hata mbayuwayu wanalijua hili...Mkuu nimewasikia tu wakiongea, sijaongeza neno.
Siku hizi umebadili msimamo??Cha muhimu ni maandalizi mazuri na matamu sio ukubwa au udogo wa "dude"
Kwanini mkuu wangu?Siku hizi umebadili msimamo??
Hebu niache kwanza nilijenge taifa. Unanichanganya tu hapa mida hii....Kwanini mkuu wangu?
Mie napenda sana mtu ambaye ni mjuzi wahiyo sekta. mwingine ana "bunduki" lakini hana maandalizi wala maneno ya mahaba sasa wa nini huyo?
Mwingine ana "kapenseli" lakini unaandaliwa hadi anakwenda Uvinza. Hii kitu babau Asprin inahitaji maandalizi na manjonjo sio issue ya "kuheneka" tu kwenye Kei....
hahahah, chukua kipande cha sabuni hichoooo uende toilet ..........Hebu niache kwanza nilijenge taifa. Unanichanganya tu hapa mida hii....
Na umri huu tena? Wakati naweza kukatanguliza kafanya usafi nikakainamisha chapchap?hahahah, chukua kipande cha sabuni hichoooo uende toilet ..........
uka,...............
ukanawe mikono. hahahaha
Wengine hatuhitaji hizo gobole kuuubwa mradi utumwage maji tu hata uwe na kidude kiduchu kama filimbi ntakuheshimu milele
Kwahyo sisi wenye magobole kwa kapeace hatuna nafasi
Mtaalamu wa masuala ya vibamia na wanyonge.
Hahaha mnichimbe handaki halafu nani afukie,, ngono ni starehe sio kuumizanaHuyo hakubali nimejaribu huu mwaka wa 5 nakosa mechi hata ya kirafiki.
Short chasis tamu sanaUtaomba hadi mosi 2023 akijua una gobole anakublock. Anapenda watu wafupi wafupi kila sehemu.
Ndo nawashangaa hawa viumbe kututukania ulevi wetu wengine hapaWatu wanamwagana maji hata kwa kidole
Hawahitaji hayo magobole
Hujui kumwaga maji. Huo ni udhaifu mkubwa kuliko kuwa na kibamia
Tembeeni kifua mbele wasiwatisheDah.. Kapeace huwa anatutetea sana sisi wenye vb, naomba kushukuru kwa niaba yetu wote.