Eti wenye mashine ndogo wako very romantic

Eti wenye mashine ndogo wako very romantic

An opinion is the cheapest thing...evry 1 has his!
 
#fact
And handsome too! Ni wadada nimewasikia wakisogoa kwenye saluni nilipokuwa nanyoa leo. Mmoja katoa uzoefu wake na takwimu kabisa kuwa katika wote aliokutana nao ambao aliwaona gentle, very romantic and caring ni wale wenye vibamia.
Wadada wa JF mnasemaje?
 
Back
Top Bottom