Eti wanawake wa JF especially MMU, wana AKILI nyingi kuliko Wananaume wa JF esp MMU!

Huwezi kujifananaisha na mwanamke hata siku moja kwenye socual networkukitaka kuamini chukua post aliyepost mwanamke na upost wewe kwenye account yako uine respond ya like. Kwake na kwako,ladyis first bana
 
Ni kwa sababu hata mods wa MMU wameenda likizo...siku hizi tunachit chat hadi huku MMU

Uthjifanye kuchonga hapo! we ni hodari wa kuponda, embu thku 1 tuoneshe mfano wa thired zinazohitajika hapa MMU!
Mtu ukimwambia hivo sivyo, sivyema kuishia hapo, unatakiwa kumpa mfano! Hihihihiiii
Mwenyewe unatoa likes kibao kwa kudoea! Hihihiii! Mbavu dhangu mie!
 
kingine kuhusu REP POWER,mbona zimeongezeka hivyo faster faster utakua umehonga kwa MODS lol

mwekundu reply power hawatoi Mods!
Watu wanapeana wenyewe kama likes tu!
Mwezi uliopita nilimwaga mapoint ya kufamtu! Kuna mtu alinireply kwenye recepient "this is best answer" kuja kuangalia reply power ndio hilo limefika laki! Lol!
 
Tatizo zako zimekuwa nyingi mpaka nimezizoea!! lol
Eiyer nini kimekufanya u like post yangu? Naomba maelezo vinginevyo u unlike asap kabla Mashaxizo hajaiongeza kwenye idadi ya likes anazonihesabia

Hahahahaaaa!
Mi nacheka tu!
 
Last edited by a moderator:
haaa haaaa Mashaxizo mbona mimi nakugongeaga ma likes kwan nataka nikudoee?
we kubali bana sie tuko vizuri upstairs.
Hahahahaaa!
We Demba weye!
Hamna lolote, tunawagongea tu ili tupate kachance ya kuwadoea!
Hahahahaaaaa!
Uongo??
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naona kama LIKE zimepoteza maana

Kuna watu wanalike kwa sababu tu wanamipango yao kwa wahusika
Wengine wanalike kwa sababu wanawazimia wahusika[hili linawahusu hata wanawake pia]
Wengine wanafanya hivyo kwasababu wameguswa na point za wahusika
Wengine wanafanya hivyo kwasababu tu kuna like
Wengine wanafanya hivyo kwasababu ni jinsia fulani[hili ndio linawafanya wanawake kuwa na like kibao]

Kwa kifupi sababu ziko byingi lakini nyingi sio za msingi!

Yap! Nakubali mia mia!
Nimejiuliza hiyo kitu baada ya kuangalia thired zinazohusu matheory na zile zinazohitaji ushauri! Kiukweli ke wengi sio washauri wazuri! But likes zao zikojuu!
...
Umejibu vizuri kaka!
 
Unacheka nini tena best?

Si ulihitaji reason ya kugongewa like! Tena unasistiza "kabla mashaxizo hajaiesabu" teh teh teh!
Mi thtaki kuulizwa kwanini nakugongeaga likes!
Kama vipi nijibu wewe kwanini unanigongea likes? Au unanidoea?
Cc: DEMBA!
 
Sina hata mpango wa kukudoea best,huwa nakugongea sometimes for recognition hasa kama umeni quote na sitakujibu.
Huwa na like comments zako pia kama kulipa fadhila maana nahisi 80% ya likes zangu zimetoka kwako..... lol
Uso umeumbwa na haya ujueee
 
mwekundu reply power hawatoi Mods!
Watu wanapeana wenyewe kama likes tu!
Mwezi uliopita nilimwaga mapoint ya kufamtu! Kuna mtu alinireply kwenye recepient "this is best answer" kuja kuangalia reply power ndio hilo limefika laki! Lol!
dah........kweli?
 
Uthjifanye kuchonga hapo! we ni hodari wa kuponda, embu thku 1 tuoneshe mfano wa thired zinazohitajika hapa MMU!
Mtu ukimwambia hivo sivyo, sivyema kuishia hapo, unatakiwa kumpa mfano! Hihihihiiii
Mwenyewe unatoa likes kibao kwa kudoea! Hihihiii! Mbavu dhangu mie!

Mimi hata sijakuponda labda kama umenisoma vibaya...

Thread kuwekwa Chitchat haimaanishi kuwa haina kiwango, maana yake ni kuwa content yake inafaa kuwa huko...
 
Back
Top Bottom