Eti Wanasiasa Ni Waongo?

chloe.obrain

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
391
20
Wanasiasa 20 walipata ajali mbaya porini, mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote kwa pamoja.
Baadaye polisi walikuja na kumhoji kuhusiana na ajali pamoja na maiti na mahojiano yalikuwa hivi:-
Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?
Mkulima ;- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa..
Polisi :- Zipo wapi maiti?
Mkulima :- Nimezizika
Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa?
Mkulima :- Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote.. :doh:
 
hahahah!!!!!!!!!!!!
thats gud
mkulima anahitaji zawadi jaman!!!!!!
 
goooooood god what a joke.hahahahahahahah that is perfect hasa wakati huu wa uchagusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom