Eti wamenichunia

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
 
Wamekasirika windo lao limeharibika ndoa zimekuwa ngumu mno siku hizi
Sina mazoea nao nje ya kazi, sijawahi kuonyesha interest , zaidi mmoja nilimpa lift
Sababu siku hiyo palikuwa na mvua nikampeleka hotelin alipo men wake
 
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
Mkuu achana nao wanawake utawaweza!
 
wafanyie engagement nao
 
Unaomba ushauri? Kafungue jalada la malalamiko kituo chochote cha Police kilicho karibu nawe ili upepo wa kisuli suli ukija waleta kwako mchumba/mkeo ajue ulishawafungulia kesi.
 
Back
Top Bottom