Eti utaachika????

kwani lengo kuu la kuoa kwa wanaume ni nini, au kama ukioa halaf ukakuta mke wako hana njia ndoa itadum kweli. wote waume kwa wake lengo ni moja
 
mmmh, kule vekeshi mlifadhiliwa?
Mi nimetaja vitu muhimu, na financial security ni part of it.
By the way, nimeanza kutafuta na kazi kabisa huku huku
Hakuna dalili ya kurudi any soon... having so much fun! :A S wink:
 
mito umeelewa sahihi kabisa, ni kwamba wengi comments zetu zinaonyesha kuwa tutavumilia kwasababu ya fedha, but naomba nikuelimishe kidogo na kwa faida ya wanajamvi wengine, asikwambie mtu panapo mapenzi ya kweli hilo siyo tatizo kabisa.

sisemei ushabiki manake mimi ni miongoni mwa wanaopenda kufanya matusi kuliko mtu mwingine yeyote yule lakin ninachoangalia hapa ni nguvu ya penzi.Tujiulize mara nyingi sana mdada na mkaka tunategemea waoane wakiwa mabikira wote, so hakuna ajuaye kufanya, ama ajuaye mapungufu ya mwenzie katika maswala ya tendo la ndoa. Lakini upendo wa dhati usiokuwa na unafiki wala hila ndio uliokusukuma kuanzisha hayo mahusiano na umefika ndani umekuta kazi hamna je utafanyaje? utakimbia? utavumilia? ama utatafuta suluhisho la tatizo?

kwa mtu mwenye akili na busara always atatafuta suluhisho la tatizo na katika hali kama hii wote ni wazima ishu ni mpera tu basi tafuteni njia mbadala ya kuendeleza maisha na furaha yenu. wala ishu ya kutoka nje siyo tija sana humo humo ndani improvise vitu vingine kwa ajili ya kuwapeni raha. tana ikumbukwe mwaweza kuoana wote wazima na baada ya muda mmoja anaugua kazi inashindikana so ni busara zaid kujijengea desturi ya kuvumiliana na kutatua matatizo yenu wapenzi wawili pasi kushirikisha watu wa nje.

Umeongea vema sana
 
Last edited by a moderator:
Naam,hatimae nguvu ya pesa inaonekana kwenye nyuso na maandiko ya wanawake!
Eiyer ni kweli hayo usemayo? nafikir mekuwa too genaral mahali ambapo wengine tumekuwa diversified. hebu soma vizuri hizi post?
 
Last edited by a moderator:
can i join you guys?

Hata kwa siku 2 tu, am lonely here.

Mi nimetaja vitu muhimu, na financial security ni part of it.
By the way, nimeanza kutafuta na kazi kabisa huku huku
Hakuna dalili ya kurudi any soon... having so much fun! :A S wink:
 
Jamani mtu asikudanganye...ukiwa una matatizo na dushelele, hata kama una mipesa utatokea mtu utasaidia pembeni. Unless umri umeenda yani umepita ile age ya matamanio ya kila saa ya mwili, lakini pesa hainiweki kwasasababu nistahmili udhaifu wako.
 
can i join you guys?

Hata kwa siku 2 tu, am lonely here.
Unawezaje kua lonely with so many people (ke na Me)?
Au ndio kama hao wana pesa ila kazi inawashinda? lol
Njoo basi. Ila tatakayo tokea huku na yaishie huku huku :hug:
 
Aaah.. Kama ni gari, sijui pesa na matakataka mengine nimeyaacha yote kwa Babangu nikamfata mume..Sasa huyo mume nikimkuta kumbe Abdala kichwa wazi hawezi kupanda mtungi..Akhaaaa...Narudi zangu kwetu! Kwa mume siendi kwa ajili ya kuchuma pesa jamani, namfata Abdala kichwa wazi naomba nieleweke..
 
kwani lengo kuu la kuoa kwa wanaume ni nini, au kama ukioa halaf ukakuta mke wako hana njia ndoa itadum kweli. wote waume kwa wake lengo ni moja

Soma post za wanawake ndo utajua kwanini wanaolewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom