Eti utaachika????

priorities binafsi zina-matter, asitusemee kabisa.

Naolewa, siachiki, napiga mechi za mchangani tu, huku nalilia kwenye bangaloo na lambogin.

Chezeiya nimekulia tandale mlo mmoja kwa siku afu uniletee mambo ya abdala kichwa wazi? Ntamtumia hata Salumu makofia
Kongosho umeona eeh! hapa kwa kuna mambo lukuki bana manake mechi hata za mchangani zinahusu na wengi tu wanaishi haya maisha. Kama una uhakika wa Total card worth 4mil, credit worth 10 ml per month, huku unavilla some where ya ukweli kids wana fun spot card na life insurance cards shida yanini kuangalia hayo ya abdalla kichwa wazi?

but ukweli uko hivi, hapo juu natania, mwanamke yeyote anategemea ndani akutane na mchezo as part of life na inapotokea kwamba umeolewa na huko ndani hauupati basi ni ishu ya kuongea na mwenzi wako mnatafuta njia nyingine ya kuridhishana n aishu ya watoto kwenu inakuwa haina mashiko ila tu hii ni kama mnapendana kwa dhati na hapo hata kama atakua maskini hutojali hilo. hii inategemea hekima na busara ya mtu binafsi zaid.

Lakini nimeshuhudia mtu kaolea na mwarabu na mumewe ni jani la mgomba lililosinyaa,na kwasababu the gay has money dada yuko well liquidated anatoka na dereva wao bila mumewe kujua na kwa kuogopa kumuumiza mumewe zaid huwa hathubutu kuzaa ingawa anapenda what she did majuzi kati kamsomesha mumewe waka asili mtoto siijui kama itafanikiwa au la.
 
Last edited by a moderator:
mmmmh! kila kitu kwa kiasi, AKW akizidi sana bila mipango endelevu ya familia,bila mawasiliano mazuri ya kuheshimiana (kwa msisitizo zaidi), kwa kweli hata hafai. Nawatakia siku njema woooote
 
Hivi mfano ukakutana na balaa hilo la jogoo kushindwa kuwika(naomba Mungu atuepushe) utamwacha mkeo?

Sasa kwani sababu ya mwanamke kuwaacha wazazi wake na kuja kuishi na wewe ni nini? Jogoo asipowika kwisha kazi yako! Kwa upole tu, mwache mkeo!
 
kwani huyu mume hana ulimi? Hana lips? Hana vidole, atatumia hata gunzi lol

mapenzi yangu kwa lambogini ni makubwa kuliko ya abdala kicha wazi, ndo maana nikasema nitatumia hata salum makofia.

Hiwezi ijua njaa kama hujawahi lala njaa, tena sasa hivi pale kinondoni zinaletwa toka Dubai akha na shida gani, tena naweza hata nunuliwa doll orijino from UK au USA.

Chezeiya pesa nyie? Muulizeni Yuda iskariot nguvu ya pesa.
Bora Kongosho amekua mkweli kidogo,lakini hivi kama mechi za mchangani no,utafanyaje shangazi Kongosho?
 
Yani niache mapesa kisa dushelele??hapana sio mimi wa kaskazini labda!pesa kwanza dushelele baadae kha!
 
priorities binafsi zina-matter, asitusemee kabisa.

Naolewa, siachiki, napiga mechi za mchangani tu, huku nalilia kwenye bangaloo na lambogin.

Chezeiya nimekulia tandale mlo mmoja kwa siku afu uniletee mambo ya abdala kichwa wazi? Ntamtumia hata Salumu makofia

Girl me like yo style.
 
Asilimia kubwa hata wakijitoa fahamu wanafata Dushelele tena lenye ufanisi mzuri, TATIZO JINGINE NI HILI: Kwenye PESA ufanisi wa dushelele ni 20% Kwenye HAKUNA ufanisi wa dushelele ni 80%
 
Swali hili nimepewa leo na dada ambae tunaishi nae hapa uswazi,ndo nikagundua kumbe wanawake wana mbwembwe nyiiiingi lakini mawazo yao ni hapoo! . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . . . . . . . . . . . .Huyu dada nili muuliza;"Hivi nyie hasa mwanaume thamani yake kwenu ni nini?",ndipo akajibu;"Mengine hua ni mbwembwe tu,sijui hela,magari n.k,mambo yote dushelele a.k.a abudala kichwa wazi,kama unabisha mtafute mwanamke yoyote umwambie aolewe na tajiri ambae abudala wake hana hasira uone kama hataachika"! . . . . . . , . . .. . . .Mimi nimeamua kuwauliza nyinyi wanawake wa JF,eti utaachika?

Eiyer nilichogundua kutokana na comments za waliopita ni kwamba mwanamke hataachika kwa sababu kuna alternatives, lakini hizi alternatives zisingekuwepo inaonekana hakuna mwanamke ambaye anaweza kuolewa na mwanaume eti kwa sababu ana pesa wakati jogoo lake haliwiki. Wadada nisahihisheni kama nimewaelewa vibaya!
 
Asilimia kubwa hata wakijitoa fahamu wanafata Dushelele tena lenye ufanisi mzuri, TATIZO JINGINE NI HILI: Kwenye PESA ufanisi wa dushelele ni 20% Kwenye HAKUNA ufanisi wa dushelele ni 80%

Mmmh mkuu nitake radhi!
 
mito umeelewa sahihi kabisa, ni kwamba wengi comments zetu zinaonyesha kuwa tutavumilia kwasababu ya fedha, but naomba nikuelimishe kidogo na kwa faida ya wanajamvi wengine, asikwambie mtu panapo mapenzi ya kweli hilo siyo tatizo kabisa.

sisemei ushabiki manake mimi ni miongoni mwa wanaopenda kufanya matusi kuliko mtu mwingine yeyote yule lakin ninachoangalia hapa ni nguvu ya penzi.Tujiulize mara nyingi sana mdada na mkaka tunategemea waoane wakiwa mabikira wote, so hakuna ajuaye kufanya, ama ajuaye mapungufu ya mwenzie katika maswala ya tendo la ndoa. Lakini upendo wa dhati usiokuwa na unafiki wala hila ndio uliokusukuma kuanzisha hayo mahusiano na umefika ndani umekuta kazi hamna je utafanyaje? utakimbia? utavumilia? ama utatafuta suluhisho la tatizo?

kwa mtu mwenye akili na busara always atatafuta suluhisho la tatizo na katika hali kama hii wote ni wazima ishu ni mpera tu basi tafuteni njia mbadala ya kuendeleza maisha na furaha yenu. wala ishu ya kutoka nje siyo tija sana humo humo ndani improvise vitu vingine kwa ajili ya kuwapeni raha. tana ikumbukwe mwaweza kuoana wote wazima na baada ya muda mmoja anaugua kazi inashindikana so ni busara zaid kujijengea desturi ya kuvumiliana na kutatua matatizo yenu wapenzi wawili pasi kushirikisha watu wa nje.
 
Last edited by a moderator:
kwani huyu mume hana ulimi? Hana lips? Hana vidole, atatumia hata gunzi lol

mapenzi yangu kwa lambogini ni makubwa kuliko ya abdala kicha wazi, ndo maana nikasema nitatumia hata salum makofia.

Hiwezi ijua njaa kama hujawahi lala njaa, tena sasa hivi pale kinondoni zinaletwa toka Dubai akha na shida gani, tena naweza hata nunuliwa doll orijino from UK au USA.

Chezeiya pesa nyie? Muulizeni Yuda iskariot nguvu ya pesa.

hahahaaaa,hapo kwenye red umeniacha hoi kabisa!
 
Naam,hatimae nguvu ya pesa inaonekana kwenye nyuso na maandiko ya wanawake!
 
Eiyer nilichogundua kutokana na comments za waliopita ni kwamba mwanamke hataachika kwa sababu kuna alternatives, lakini hizi alternatives zisingekuwepo inaonekana hakuna mwanamke ambaye anaweza kuolewa na mwanaume eti kwa sababu ana pesa wakati jogoo lake haliwiki. Wadada nisahihisheni kama nimewaelewa vibaya!

Hujawaelewa hawa kabisa,hebu rudia!
 
Asilimia kubwa hata wakijitoa fahamu wanafata Dushelele tena lenye ufanisi mzuri, TATIZO JINGINE NI HILI: Kwenye PESA ufanisi wa dushelele ni 20% Kwenye HAKUNA ufanisi wa dushelele ni 80%

Umepishana na ukweli wewe!
 
Naam,hatimae nguvu ya pesa inaonekana kwenye nyuso na maandiko ya wanawake!
Mapenzi nayo vipi? maana anaweza kua na pesa,
na hayo mengine akaweza, ila hana mapenzi kwangu
Mi nadhani ni combination ya vitu vingi, vyote muhimu
na vyote ni jukumu la couple, sio yeye tu, au mimi tu:
Financial security, love, support, sex, na mengine mengi
 
mmmh, kule vekeshi mlifadhiliwa?

Mapenzi nayo vipi? maana anaweza kua na pesa,
na hayo mengine akaweza, ila hana mapenzi kwangu
Mi nadhani ni combination ya vitu vingi, vyote muhimu
na vyote ni jukumu la couple, sio yeye tu, au mimi tu:
Financial security, love, support, sex, na mengine mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom