Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Tatizo ni kwamba maskini wanapenda sana kujionesha ni matajiri sana mbaya zaidi wananunua vitu ambavyo ni liabilities na si asset mfano gari ya kifahari au simu ya kifahari wakati hao wenye vipato na mitaji mikubwa hawafanyi hivi. Kwa bahati nzuri kazi yangu ya ukolokoloni imenifanya niyajue kwa kiasi fulani maisha ya matajiri si unajua tena kukaa getini unakuta hao matajiri anamiliki simu ya tsh laki tano bila kusahau lazima awe na nokia tochi kwa mawasiliano ya uhakika bila kuishiwa chaji. Tuache ujinga
 
baelezee baelewe

huyu mtoa mada hakufikilia kabla,au kama alifikilia basi hakuchuja na kujua haki ya kuishi.hapa dunia ni uwanja wa fujo,we ukilala na njaa mwenzako anatoa milioni kumpa mwanamziki kwa kutajwa jina lake tu.hayo ndio maisha
 
Sio kosa lako ni umasikini wako mkuu
 
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho

Sasa ukute huyo anayenunua simu ya m1.3 hata kapikipiki kaboxer hana anahemea daladala,wahuni wakiipitia kama bolt anakonda huyo
 
Changu pale Buguruki Kimboka ni buku mbili. Muulize mheshimiwa Kapuya anatoaga ngapi ? bidhaa ni ile ile mh anatoa lakhi tatu. holoi poloi buku mbili

Mkuu Hiyo Laki Tatu Bado Hujaongeza Gharama Ya Hoteli si Chini Ya Laki 2
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Galaxy Note 5 imetoka lini??
ndio maana ina functions za simu ya elfi hamsini... Afu usiongelee hela ya mtu, anajua alivoitafta mwenyewe,jasho la wengine machungu upate wewe.... Maneno ya maskini bna kujipoza, utasikia wote kaburi linafanana, ndo sawa na yako haya, toka lini simu ya milioni ikawa na function sawa na simu ya elfu hamsini!
 
twafa-kali wachangiaji wengi wamekujibu ninavyofikiri mimi ni sahihi.Tunatofautiana kimapato na vinavyotupa raha maishani.Kuna baadhi hupanda ndege na kulala hoteli za 5stars kwa ajili ya ngono tu,tena wakati mwingine na h/girl wake au bar-maid.Achana na maisha ya watu,acha umbeya,jishughulishe na yako.Nyie ndo wale "ndugu lawama"
 
Last edited by a moderator:
sio kila m2 anapenda awe na kiwanja ajenge nyumba iwe ya bzns au matumiz bnfs,ni vyema utambue w2 wana test na preference tofaut

Umasikini kitu kibaya sana.... hata hivyo ungetushawishi kwa kuelezea kua maisha kipato chake ni kidogo kulinganisha na matumizi na kwamba anadhurika kwa hilo alilofanya, otherwise... acha ale maisha na wewe baki na shida zako.
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,
Ufala tuu!badala hata hiyo pesa angenunua ka home made mashine ya kukamua mafuta ya kula nyumbani
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Mkuu hiyo Note5 umetoka leo nini? Mi mbona nimenunua Note3 wala sijutii hela yangu afu ni kawaida tu sasa kama huna hela ni wewe na ninafanya kitu roho inapenda... ImageUploadedByJamiiForums1402122191.167069.jpg
 
Sasa ukute huyo anayenunua simu ya m1.3 hata kapikipiki kaboxer hana anahemea daladala,wahuni wakiipitia kama bolt anakonda huyo

Umeona eeeeeeh waambie mkuu waache ushamba na sifa za kijinga bora hiyo hela angewekeza ajenge nyumba aache kupanga pumbavu sana
 
huyu mtoa mada hakufikilia kabla,au kama alifikilia basi hakuchuja na kujua haki ya kuishi.hapa dunia ni uwanja wa fujo,we ukilala na njaa mwenzako anatoa milioni kumpa mwanamziki kwa kutajwa jina lake tu.hayo ndio maisha

Kujeni huku mnaotetea matumizi mabaya ya fedha ndio maana nchi inakosa maendeleo mmenifanya nikoki bunduki yangu asubuhi yote hii nitawalipua
 
Back
Top Bottom