Eithe Note 3 au S5
sumsung galax S5 active, haiingii maji kwenye kina less zan 100m, haichubuki, pia vumbi aliwezi ingia ndani ya cm, nb; isikae kwenye maji zaidi ya nusu saa
Eithe Note 3 au S5
we si ndo umesema au unakana maneno yako? Mkuu mi naona tatizo ni bei ya mkaaView attachment 163284
teh teh teh mi hii hapa tena nimenunua juz tuu
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho
well taken mkuu..,twafa-kali wachangiaji wengi wamekujibu ninavyofikiri mimi ni sahihi.Tunatofautiana kimapato na vinavyotupa raha maishani.Kuna baadhi hupanda ndege na kulala hoteli za 5stars kwa ajili ya ngono tu,tena wakati mwingine na h/girl wake au bar-maid.Achana na maisha ya watu,acha umbeya,jishughulishe na yako.Nyie ndo wale "ndugu lawama"
Kama nakuwa na hela nyingi hata milioni mbili nitatoa kununua simu
Mkuu I did expect this..,ndo consequence ya mjadala wengine watasuport wakt wengine watakupinga..,otherwise i would have not brought this thread kwny uwanja huubro watakushambulia sana, UJUMBE UMEFIKA , KILA NDEGE HURUKA KWA MBAWA ZAKE.
Tatizo tunatofautia kipato. Usiumize kichwa yako sana kijana.
Nilitoa mimacho jamaa angu nilivosikia zipo condoms za hadi Tsh.50000 fifty thousandHata condom ziko za mia mbili na za buku tano. gesti kuna buku tano hadi elfu hamsini. sijasema hoteli.
vili vile cm kuna za kichina zinauzwa kwa kilo na kuna Samsung za mpaka milioni na ushee. hata vidole havilingani. pia uzuri wa wanawake ni torfauti.
Unajuwa wewe kinachokusumbua ni umasikini wako
Ukidhani na kila mtu ana njaa kama wewe
Hii nchi watu wanamzigo kijana
Kwahiyo mkuu hata kama mtu anakosea umwangalie tu haipendezi bora umweleze ukwel pesa zina mwisho wake siku zikiisha utayakumbuka macm yote uliyopoteza hela kuyanunua
Mbona hiyo siyo ghali?Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,
Lakini tukubaliane kuwa kuna idadi kubwa tu ya watu wananunua vitu kama hiv kulingana na ulimbukeni wao na sio financial status zao zinaruhusu..,wakati home watoto wanapiga miayo au hata kiwanja hana..,lakini kwa show off.....,hakuna fashion inayompita. Hapo ni akili au matope..?
pole sana mkuu kwa kununua cm kama hiyo ya kaz gan
we unatumia viroba?
Hapana, ila mnajua kipato chake ni kiasi gani huyo aliyenunua S5? Vipi kama kipato chake ni 5* bei ya hiyo simu kwa mwezi?