Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

twafa-kali

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
251
211
Kuna jamaa yangu amenionesha simu yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee, naye ameonekana kuwa disappointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny simu za elfu hamsini zinapatikana,

MY TAKE; HIVI MNAOZIMILIKI HIZI SIMU ZINA NINI CHA AJABU, AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIASI FULANI KAMA DUKA? KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Huna hela wewe. We endelea na michina yako
 
Hakuna brand kama hyo
 
Unajuwa wewe kinachokusumbua ni umasikini wako
Ukidhani na kila mtu ana njaa kama wewe
Hii nchi watu wanamzigo kijana
Lakini tukubaliane kuwa kuna idadi kubwa tu ya watu wananunua vitu kama hiv kulingana na ulimbukeni wao na sio financial status zao zinaruhusu..,wakati home watoto wanapiga miayo au hata kiwanja hana..,lakini kwa show off.....,hakuna fashion inayompita. Hapo ni akili au matope..?
 
sio kila m2 anapenda awe na kiwanja ajenge nyumba iwe ya bzns au matumiz bnfs,ni vyema utambue w2 wana test na preference tofaut
 
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho
 
hebu nisaidie ni brand gani hiyo...,lakin ni samsung, mwishoni either ni note5 au s5..,si unajua tumezizozea nokia za tochi mkuu. teh teh teh...

mkuu unatuleta habari za nadharia, iweje uanzishe thread wakati huna hakika na unachokizungumza,....
 
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho
duh..haya mkuu..,hebu rudia tena lile jina la gavana wa zimbabwe anaitwaje..,au umekoseA...,eti GONO..?
 
Back
Top Bottom