Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Mkuu katika maisha kuna mapendeleo kwa kila mtu. Halafu kama hujawahi kutumia smartphone hizo huwezi jua how valuable they are. Japo kama nilivyosema watu tunatofautiana kwenye mapendeleo na priority vile vile. Binafsi sioni tabu kununua.
 
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho

Baelezee baelewe
 
duh..haya mkuu..,hebu rudia tena lile jina la gavana wa zimbabwe anaitwaje..,au umekoseA...,eti GONO..?

Kweli anaitwa GONO huyu ndie anaemliwaza mke wa Mugabe. Mugabe anajua lkn hana la kusema kwani libwata alilolishwa sio la Tabora.
 
Inategemea na purchasing power uliyo nayo
 
Changu pale Buguruki Kimboka ni buku mbili. Muulize mheshimiwa Kapuya anatoaga ngapi ? bidhaa ni ile ile mh anatoa lakhi tatu. holoi poloi buku mbili
 
Mfumo wa kibepari ni kipuuzi! Jamaa anaona 1.3m ni pesa ndefu kwa simu,wakati watu wanahonga verrosa wapate papuchi. Bora simu utakuwa nayo kitambo,,sasa papuchi unapiga ukimaliza anapokea mwenzio! Kitu kinachoitwa pesa kwa watu wengine sio jambo kubwa mkubwa. Ni vijimambo tuu!
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Hukuwepo wakati anazisaka, Usimpangie kuspend!
 
Hata condom ziko za mia mbili na za buku tano. gesti kuna buku tano hadi elfu hamsini. sijasema hoteli.
vili vile cm kuna za kichina zinauzwa kwa kilo na kuna Samsung za mpaka milioni na ushee. hata vidole havilingani. pia uzuri wa wanawake ni torfauti.
 
Kwa ubahiri wangu that shit can never happen even if I gat million Buck
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Unashangaa hilo..Rafiki yangu aliagiza baiskeli kutoka Ujerumani 1.5 mil.
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Kawaida, ni sehemu ya matumizi yake, mine costs 1.5 m...mbona hata gari, mwingine anatembelea vits na mwingine Range?...tofauti zipo ni kuzikubali tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom