Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Eti una hesabu 1.3 million kununua mobile phone

Simu ndio mambo yote
Hubebi tena Diary
Hubebi Dictionary
Hubebi Scientific Calculator
Hubebi Tochi na kununua battery zake
Hubebi Radio na battery zake
Hutembei na TV
Hubebi Laptop
Hubebi saa ya Alarm
Hutembei na Fax
Hubei Remote Control
Hubebi still camera
Hubebi Video Camera
Hubebi Business Card holder
Hutembei na Scanner
Hutumi barua wala kufungua sanduku la posta
Hutembei na magazeti
Huendi Library
Hutembei na Album ya picha...
HIVYO VYOTE ukivijumlisha Mbona 1.3m ndogo?
 
haya kaka..., i give u a salute
 
We huna tofauti na mtu anayenunua pichu ya mia mbili eti ni ilimradi amejisitiri, poor you
 
twafa-kali wachangiaji wengi wamekujibu ninavyofikiri mimi ni sahihi.Tunatofautiana kimapato na vinavyotupa raha maishani.Kuna baadhi hupanda ndege na kulala hoteli za 5stars kwa ajili ya ngono tu,tena wakati mwingine na h/girl wake au bar-maid.Achana na maisha ya watu,acha umbeya,jishughulishe na yako.Nyie ndo wale "ndugu lawama"

Amen!!, Amen!!, Amen!!..mtu mwenye roho ya kifukara siku zote hasongi mbele, anaishia kuwa fukara...
 
Last edited by a moderator:
Ushamba na umaskini unasumbua hapa tu. Hata aina ya simu yenyewe haijui ni Galaxy S 5 na si note 5
 
Duniani kila k2 2fanyacho ni ili 2pate furaha (2b happy) n at the end ni kuxbr kifo,kama hyo simu akiwa nayo ndo anajisikia yu happy kwa nn asinunue unataka atunze hela ili azikwe nazo au ?

Mkuu nakuona unafesbukika jf
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Mkuu juzi nimevuta Apple iPhone flani kwa 2.4mil.Ni matumiz tu mkuu.
 
Dogo futa mawazo ya kimaskini. kuna watu wana ndege binafsi. hawa wana madereva wa ndege wazoefu wawili au watatu. mahostess. ma attendant na cleaners wa ndege tu. unategemea anawalipa bei gani. halafu sasa hua hasafiri kkila siku. Kuna watu wana nyumba zina bedroom 46 kama gavana wa benki ya Zimbabwe bw. Gono. Hata tz kkuna watu wanatembelea ------ ndani ya evogue za bei mbaya waqt daladala na bajaj zinafanya hudma ile ile. kuna watu tunakula ndizi na nyama sahani moja elfu hamsini na ushee waqt kule kwenu bukoba ndizi za mia tano zinalisha familia. elfu hamsini uhayani ni mahari waqt hapa Dar haitoshi kipiga bao mbili. we differ. kalagabaho

Wengi wenye tabia hizo ni matatizo ya akili, mfano mtu anajijengea kaburi,anaoa wake walili au zaidi,ndoa kugharimu milioni 300 hata hajawahi kumsaidi mtoto fedha anayehitaji upasuaji hospitali,kumsafirisha paka kwenye ndege binafsi,mifano iko mingi lakini suala ni ugonjwa wa akili, si kila mwenye ugonjwa huo hana kazi au ni lazima aonekane mchafu la hasha wengine wanafanya vitendo vya kawaidia kabisa lakini utawabaini kwenye mambo kama hayo, mtu anayefanya vitu kwa ufahari ni tatizo la akili,kama unabisha kamuulize mtaalamu wa magonjwa ya akili
 
Haha! Samsung Galaxy Note 5? Hii itakuwa jamaa alitengenezewa yeye.
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Kuna wimbo wa kimanyema unaitwa Gere mama naupenda sana, ndani ya huo wimbo kuna mstari unasema hivi '...fahariiii eeh ndio mama wa ujingaaaa...!!!'
 
Kama hali inaruhusu sio mbaya, ila kama utanunua halafu kesho yake usiwe na namna ya kuishi ni kutoutendea mwili wako haki.
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

Tutolee unoko wako hapa, umeanza lini kazi ya kuwapangia watu bajeti? Mtu ametafuta hela zake kwanjia anazojua yeye alafu wewe uanze kumpangia matumizi acha hizo!
 
wakuu nasaka huawei BIRD kwa shs 175,000 ikiwa mpya kabisa...

nitafute kwa PM tafadhali..
 
Wengi wenye tabia hizo ni matatizo ya akili, mfano mtu anajijengea kaburi,anaoa wake walili au zaidi,ndoa kugharimu milioni 300 hata hajawahi kumsaidi mtoto fedha anayehitaji upasuaji hospitali,kumsafirisha paka kwenye ndege binafsi,mifano iko mingi lakini suala ni ugonjwa wa akili, si kila mwenye ugonjwa huo hana kazi au ni lazima aonekane mchafu la hasha wengine wanafanya vitendo vya kawaidia kabisa lakini utawabaini kwenye mambo kama hayo, mtu anayefanya vitu kwa ufahari ni tatizo la akili,kama unabisha kamuulize mtaalamu wa magonjwa ya akili

Wacha hizo Nyamanoro ...huu ni utashi wa mtu anavyojisikia,kwako inaweza ikawa kufuru au "ugonjwa wa akili" km unavyoita lk si hivyo...mara nyingi matumizi ya "tajiri" ni kufru kwa masikini km ww......ohw ...na mimi...Mwishowe utasema hata kununua shati kwa elfu hamsini nao ni ugonjwa?rudi basi kama zama zile uvaa "magome"!
 
Kuna jamaa yangu amenionesha cm yake samsung galaxy note 5 mpya kabisa akadai amenunua sh milioni moja na laki tatu na ushee..,naye ameonekana kuwa disapointed kwani functions zote anazoweza kuziapply hata kwny cm za elfu hamsin zinapatikana..,
MY TAKE..,;HIVI MNAOZIMILIKI HIZI CM ZINA NINI CHA AJABU..,AU KILA SIKU UKIAMKA ASBH ZINAKUINGIZIA FEDHA KIAS FULANI KAMA DUKA....?KAMA SIO BASI NITAENDELEA NA NOKIA YANGU YA TOCHI...LOH...,

....Pengine hio galaxy kapigwa na "Jun Tao"...Mshauri usinunue kitu kufuata mkumbo tu,nunua kwa mahitaji yake....ndo hao hao wanakimbilia kununua Vogue halafu wanalalamika eti linakunywa mafuta!Uwezo wako ni wa Boxer BM 150......ishia hapo hapo..!
 
Unajua katika mifumo mbalimbali ya maisha binadamu tunayoishi inaweza kulingana au kutofautiana kulingana na vile mtu apendavyo kuishi. Suala la huyu jamaa kununua hiyo Samsung Galaxy Note (1,2,3) kwa mtazamo wangu siwezi kumshangaa hasa ukiangali kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha ya kila siku. Si ajabu wewe ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi na mtu mwingine akakushangaa. Cha msingi ni kutoingilia maisha ya mtu kwani haitakusaidia zaidi ya kukuletea machungu (makwazo).
 
Back
Top Bottom