Eti nyama nyama! Bucha je?

Eti nyama nyama! Bucha je?

Mgonasipapune

Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
63
Reaction score
14
Kuna kamsemo ambko hutolewa pale Ke au Me anapotoka nje ya mahusiano...Utakuta Mume analalamika"Unachotafuta ni nini kipya huko"....Ni kweli hamna kipya?
Mke naye utamsikia"Baby kwani ni nini watafuta huko kwingine..utamaliza bucha lakini nyama ni ileile"..KWELI???
Njuavyo mimi ni kwamba Bucha zipo tofauti kwa kuzingatia vigezo vingi tu...vivyo hivyo kwa nyama iliyomo ktk bucha moja haiwezi kulingana na ya bucha nyingine..
Sasa kwenu wana jf...wazoefu wa masuala haya...Hivi ni kweli Mabucha haya tofauti huwa na nyama ileile?(Tafsida imezingatiwa)..Na kama sio kwani huwa kinamaanishwa nini kwa msemo huu wa "UTAMALIZA MABUCHA BUT NYAMA ILEILE.
 
Mkuu gonasipapune inamaanisha ya kwamba, kile unachokitafuta kila mahala utakuwa umeenda kubadilisha ladha au kuongeza uzoefu lakini itabakia kuwa ni nyama ile ile, tofauti ni mapishi tu.
 
Ya Beyonce haiwezi kuwa na ladha sawa kama hii ya Zubeda wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
zingine vidimbwi, zingine viulimbo, zingine vichochoro, zingine highway..ete..etc
 
LOL! Highway ndo zile wanazosema brake ni mapu***?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu Sumu hapa mi napita tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Fukara, unapita kwa gari au kwa miguu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Fukara, unapita kwa gari au kwa miguu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sipiti kwenye hiyo highway ambayo breki ni ma.....Napita kwenye hii thread mzee Sumu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sipiti kwenye hiyo highway ambayo breki ni ma.....Napita kwenye hii thread mzee Sumu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Haaahaaahaaa! Sawa mkuu Fukara.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Unazungumzia uke na uume au mtu na mtu?
Kunaweza kusiwe na tofauti ya ajabu kati ya uke na uke na uume na uume lkn kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume Z na mwanaume Y in totality kama ilivyo tofauti kati ya mwanamke J na mwanamke K hivyo kufanya kufanya mapenzi na J kukawa kutamu kuliko kufanya mapenzi na K, pia upendo au hisia za mapenzi Zina mchango mkubwa sana over 70% kwa upande wangu mimi.
 
kwani ya Beyonce imevundikwa kwenye majivu?

Ya Beyonce haiwezi kuwa na ladha sawa kama hii ya Zubeda wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unazungumzia uke na uume au mtu na mtu?
Kunaweza kusiwe na tofauti ya ajabu kati ya uke na uke na uume na uume lkn kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume Z na mwanaume Y in totality kama ilivyo tofauti kati ya mwanamke J na mwanamke K hivyo kufanya kufanya mapenzi na J kukawa kutamu kuliko kufanya mapenzi na J, pia upendo au hisia za mapenzi Zina mchango mkubwa sana over 70% kwa upande wangu mimi.

Umemaliza da Kaunga!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba kibaiolojia, maumbile na muonekano wa UKE unatofautiana baina ya wanawake.
Muundo wa yale mashavu ya nje na ndani "labia majora" and "labia minora", ukubwa au udogo wa kinena "clitoris", uwepo wa marinda ya muhemko "G-Spot" n.k.
Hivyo ukiacha utofauti wa bucha, hata nyama pia hutofautiana baina ya ng'ombe na ng'ombe.
Zaidi ya hapo vilevile kuna utofauti wa ufundi baina ya kiumbe na kiumbe. Sex aint about pumping in and out, huko down huwa kuna maeneo muhimu kuguswa pasipo kufanya hivyo utaishia kula na kuvimbiwa hata hiyo nyama usiione tamu.
 
Glad to have you as my daddy!!!
 
Ngoja nimtafute Teacher gfsnowin,lara 1,na huyu mutoto mumoja anaitwa Ciello
 
kwani ya Beyonce imevundikwa kwenye majivu?

Zote zimevundikwa kwenye majivu ila kinachozitofautisha ni ubora wa majivu yaliyotumika kuzivundika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahah....

Zote zimevundikwa kwenye majivu ila kinachozitofautisha ni ubora wa majivu yaliyotumika kuzivundika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unazungumzia uke na uume au mtu na mtu?
Kunaweza kusiwe na tofauti ya ajabu kati ya uke na uke na uume na uume lkn kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume Z na mwanaume Y in totality kama ilivyo tofauti kati ya mwanamke J na mwanamke K hivyo kufanya kufanya mapenzi na J kukawa kutamu kuliko kufanya mapenzi na K, pia upendo au hisia za mapenzi Zina mchango mkubwa sana over 70% kwa upande wangu mimi.

Sijatoka patupu Kaunga....
 
Last edited by a moderator:
Kuna suala la chemistry pia kati ya mtu na mtu. Kuna wanawake/wanaume ambao unajikuta unasisimka zaidi hata kuwafikiria tu kimapenzi na wengine ambao chemistry zinakataana hupati hisia nao naturaly! Usemi wa nyama ni ile ile si kweli kwa context hii, maana kila mtu ana mpaka harufu yake yeye tu ambayo mwingine hana. Kusema ''nyama ni ile ile'' kwa sehemu kubwa ni uvivu wa kufikiri tu.
 
Back
Top Bottom