Mgonasipapune
Member
- Jan 10, 2011
- 63
- 14
Kuna kamsemo ambko hutolewa pale Ke au Me anapotoka nje ya mahusiano...Utakuta Mume analalamika"Unachotafuta ni nini kipya huko"....Ni kweli hamna kipya?
Mke naye utamsikia"Baby kwani ni nini watafuta huko kwingine..utamaliza bucha lakini nyama ni ileile"..KWELI???
Njuavyo mimi ni kwamba Bucha zipo tofauti kwa kuzingatia vigezo vingi tu...vivyo hivyo kwa nyama iliyomo ktk bucha moja haiwezi kulingana na ya bucha nyingine..
Sasa kwenu wana jf...wazoefu wa masuala haya...Hivi ni kweli Mabucha haya tofauti huwa na nyama ileile?(Tafsida imezingatiwa)..Na kama sio kwani huwa kinamaanishwa nini kwa msemo huu wa "UTAMALIZA MABUCHA BUT NYAMA ILEILE.