Eti nisipompa hela ya mboga, Kama vipi tuachane

Aisee wakuu
Yaani Kuna watu kua nao kwny mahusiano Ni changamoto Sana[emoji848]

Juz Kati Tulikua na migogoro inaenda wiki ya pili kila mtu kivyake, ijumaa usiku tumekutana kaomba msamaha yameisha na tukapongezana kurudiana tena kwa show moja ya nguvu Sana. Kila mtu karidhika tumeagana vzuri usiku mwema.

Sasa Jana j.mosi asbh Niko dukan,
Ananipigia anaomba nimpatie pesa ya kula,Jana yake tumekutana kaamka kagundua sijamwachia chochote mezani kwake. Nikamuuliza "kwaiyo kumbe penzi huwa unaniuzia? Kwamba Kila Tukisex lazima nikuachie pesa?"

Akasema "hapana, namaanisha njaa inauma sn na ndani hamna kitu, kuna mchele mkavu TU, nipatie pesa nikanunue hata mboga"

Nikamwambia "ile Jana nakuja kwako sikubeba Ela yyt, afu sahv dukani sijauza chochote, ntakupa pesa jioni nikija uko" ghafla akaanza kufoka sn kua njaa inamuuma sn, hawezi ashinde njaa asbr mpk jioni wkt mimi nipo.

Hayo Maswala ya sijauza chochote dukani yeye hayamhusu, anachotaka Ni pesa tu ya mboga itumwe haraka sn kwny tigo pesa Yake, siwezi kutuma pesa ya mboga sahv, Kama vipi Bora tuachane, wanaume wako wengi sn, hawezi kua Kwny mahusiano yasiyo na faida, haiwezekani simpi yeye pesa na kuna shoga Yake Juzi juzi anajua kua nilimpatia pesa.

Nikamwambia
"FRESH TUACHANE, sitoi pesa ya mboga, sawa nmekubali kuachwa" Akasema "POA". Kila mtu akabaki kivyake.

Sasa leo tangu asbh Anapiga simu zake sizipokei, nmekuja kupokea anajaribu kushuka na kutaka maelewano Tena ikabidi kumtolea uvivu aache kujizima data Sana.

Nmemwambia ukweli asijaribu tena kunitikisa kibiriti, Kwamba Kama anahisi kanipa limbwata,ndo anajaribu kulitest Kama inafanya kazi, Basi limefeli na huyo mganga wake kamtapeli. Hajafanikiwa kunimudu Kama anavotaka kujiaminisha.

Kasema kanielewa,
Nmeona nimpe muda zaidi nione Kama atabadilika, asipobadilika Basi atakua sio riziki huyu mwanamke[emoji1431]

Msikilizeni mamaJ wenu uyu hapa[emoji116]
Hii sauti ya mama J alooo mme wangu akisikia plus na mm ni mama J lazima kinuke home. Kujitetea kwa sauti hiyo ni ngumu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duu!!!
 
Duh kweli kuishi na mwanamke tabu sana pole bro! Ninachokushauri usije kurudiana na huyo mwanamke maana anajua anachokifanya so kumsamehe samehe anakuchulia poa anakuona we boya ukiniacha muache kweli bro vinginevyo utavuna dharau sehemu ambapo heshima inahitajika
 
Dh,
Aisee wakuu
Yaani Kuna watu kua nao kwny mahusiano Ni changamoto Sana[emoji848]

Juz Kati Tulikua na migogoro inaenda wiki ya pili kila mtu kivyake, ijumaa usiku tumekutana kaomba msamaha yameisha na tukapongezana kurudiana tena kwa show moja ya nguvu Sana. Kila mtu karidhika tumeagana vzuri usiku mwema.

Sasa Jana j.mosi asbh Niko dukan,
Ananipigia anaomba nimpatie pesa ya kula,Jana yake tumekutana kaamka kagundua sijamwachia chochote mezani kwake. Nikamuuliza "kwaiyo kumbe penzi huwa unaniuzia? Kwamba Kila Tukisex lazima nikuachie pesa?"

Akasema "hapana, namaanisha njaa inauma sn na ndani hamna kitu, kuna mchele mkavu TU, nipatie pesa nikanunue hata mboga"

Nikamwambia "ile Jana nakuja kwako sikubeba Ela yyt, afu sahv dukani sijauza chochote, ntakupa pesa jioni nikija uko" ghafla akaanza kufoka sn kua njaa inamuuma sn, hawezi ashinde njaa asbr mpk jioni wkt mimi nipo.

Hayo Maswala ya sijauza chochote dukani yeye hayamhusu, anachotaka Ni pesa tu ya mboga itumwe haraka sn kwny tigo pesa Yake, siwezi kutuma pesa ya mboga sahv, Kama vipi Bora tuachane, wanaume wako wengi sn, hawezi kua Kwny mahusiano yasiyo na faida, haiwezekani simpi yeye pesa na kuna shoga Yake Juzi juzi anajua kua nilimpatia pesa.

Nikamwambia
"FRESH TUACHANE, sitoi pesa ya mboga, sawa nmekubali kuachwa" Akasema "POA". Kila mtu akabaki kivyake.

Sasa leo tangu asbh Anapiga simu zake sizipokei, nmekuja kupokea anajaribu kushuka na kutaka maelewano Tena ikabidi kumtolea uvivu aache kujizima data Sana.

Nmemwambia ukweli asijaribu tena kunitikisa kibiriti, Kwamba Kama anahisi kanipa limbwata,ndo anajaribu kulitest Kama inafanya kazi, Basi limefeli na huyo mganga wake kamtapeli. Hajafanikiwa kunimudu Kama anavotaka kujiaminisha.

Kasema kanielewa,
Nmeona nimpe muda zaidi nione Kama atabadilika, asipobadilika Basi atakua sio riziki huyu mwanamke[emoji1431]

Msikilizeni mamaJ wenu uyu hapa[emoji116

Dah, hayo maneno mazito mno brother
 
Huyo na ERoni wakorofi Sana kila nyuzi ya mamaJ[emoji4]
Ukweli ni kwamba hakuna penzi la bure hasa kwa mtu ambaye sio mkeo. Pole sana mkuu kwa kisanga chako na huyo binti, una moyo mkuu sana ambao sie wengine hatuna.
 
DeepPond hivi Kwa Mfano wakiitwa wanaume wajitokeze...na wewe utatoka kweli!?

Nimekuwa nikifauatilia thread zako na huyo mtu wako...baadae nikapuuza!.....

nikajakugundua ...sijui kama unajitambua aisee! Kama hii ndio dizaini ya wanaume tulionao.... Nasikitika sana!
 
Sema wewe nikisema mimi hater. Nauonea huruma uzao wa huyu kaka. Ndo baba wa watoto huyu kila siku anajisifia kwa kutokufanya maamuzi ya kiume. Anajianika duniani so proudly. 🚮
 
DeepPond hivi Kwa Mfano wakiitwa wanaume wajitokeze...na wewe utatoka kweli!?

Nimekuwa nikifauatilia thread zako na huyo mtu wako...baadae nikapuuza!.....

nikajakugundua ...sijui kama unajitambua aisee! Kama hii ndio dizaini ya wanaume tulionao.... Nasikitika sana!
Bora hujaliita beleshi kijiko kikubwa, mi huwa naona hata aibu kumsoma
 
Back
Top Bottom