Eti nisipompa hela ya mboga, Kama vipi tuachane

Hahaha mzee baba wewe na mama J sijui nini tena kitakachokuja kuwatenganisha. For sure I don't like my woman to step on my head tena katika vitu vidogo ambavyo yeye mwenyewe binafsi anaweza akavisimamia.
Nenda nae tu hivyo hivyo as it seems she knows how to ring you the bell at her time😊🙌
 
Sasa na wewe mwenzio ale nini 😂😂😂 nyumbani umeacha hela au hujaacha.? Mchepuko wako ndio afe njaa?

Nimecheka eti tumerudiana jana usiku 🤣 halafu ninyi ni wahaya? Ila DP unampenda sana mama J, I can tell kwa jinsi unavyoongea nae. Mahusiano ya hivi huwaga raha sana na inaonesha ni namna gani mna connection ya kipekee.
 
Kuna meme inasema hakuna mwanaume anayeweza kuwaridhisha wanawake wawili kwa usawa, lazima mmoja ateseke.

Binafsi siwezi kuwa mchepuko wa mtu yeyote duniani, wanaume hufanya mengi kwa ajili ya familia zao, hata akinunua kitu cha kwake binafsi ambacho hakiihusu familia, mfano gari…. Ni rahisi yeye kuliacha kwa mkewe, mkewe akalitumia atakavyo lakini kuliacha kwako labda iwe bahati mbaya.

Michepuko mtie akili na nyie.
 
Hahaha mzee baba wewe na mama J sijui nini tena kitakachokuja kuwatenganisha. For sure I don't like my woman to step on my head tena katika vitu vidogo ambavyo yeye mwenyewe binafsi anaweza akavisimamia.
Nenda nae tu hivyo hivyo as it seems she knows how to ring you the bell at her time[emoji4][emoji119]
Ha ha ha.....uyu nahisi Yuko na Mimi kimkakati, inaonekana njaa ikizid ndo huona umuhimu wangu.

Sahv namchukulia Kama mdangaji TU[emoji4]
 
Kuna meme inasema hakuna mwanaume anayeweza kuwaridhisha wanawake wawili kwa usawa, lazima mmoja ateseke.

Binafsi siwezi kuwa mchepuko wa mtu yeyote duniani, wanaume hufanya mengi kwa ajili ya familia zao, hata akinunua kitu cha kwake binafsi ambacho hakiihusu familia, mfano gari…. Ni rahisi yeye kuliacha kwa mkewe, mkewe akalitumia atakavyo lakini kuliacha kwako labda iwe bahati mbaya.

Michepuko mtie akili na nyie.
Mkuu familia ndo kitu Cha muhimu
Ndo maana uwa nawaza hizi sarakasi zake Angekua ananifanyia Kama MKE wa ndoa walai ningeshakunywa sumu[emoji28]

Ila kea sababu Ni mchepuko,
Akinistress Nampuuza narud kwa wife kupata pumziko[emoji4]
 
Ila mama J is being natural, wanawake naturally ndio tupo hivyo hivyo, ukiona mwanamke wako haact hivyo hata mara moja moja, kama mama J, ujue anapretend vingi na amekaa kwako kwa password na ujue ana mipango mingine tofauti na wewe.

A real woman acts like a witch sometimes! 😜
 
Akili jajachukua lkn hisia zako amezikomba.
Ukifanya utani huyo mwanamke atamuua mkeo, muda utaongea
Hana jeur ya kumuua wife,
Kwanza anmuogopa ile mbaya[emoji4]
 
Ha ha ha.....uyu nahisi Yuko na Mimi kimkakati, inaonekana njaa ikizid ndo huona umuhimu wangu.

Sahv namchukulia Kama mdangaji TU[emoji4]
🤣🤣 Ila ndio maana halisi ya mchepuko coz anajua umeshaoa na una familia yako yeye yupo kwaajili ya kukupungizia kidumu tu kinapojaa. So lazima ahakikishe anaenda sawa na wewe kupitia mapato yako. Kiufupi anajua kuwa ipo siku utakuwa sio wake tena😆
 
Ila mama J is being natural, wanawake naturally ndio tupo hivyo hivyo, ukiona mwanamke wako haact hivyo hata mara moja moja, kama mama J, ujue anapretend vingi na amekaa kwako kwa password na ujue ana mipango mingine tofauti na wewe.

Real woman acts like a witch sometimes! [emoji12]
Mipango gan kwa mfano[emoji4]
 
Aisee wakuu
Yaani Kuna watu kua nao kwny mahusiano Ni changamoto Sana[emoji848]

Juz Kati Tulikua na migogoro inaenda wiki ya pili kila mtu kivyake, ijumaa usiku tumekutana kaomba msamaha yameisha na tukapongezana kurudiana tena kwa show moja ya nguvu Sana. Kila mtu karidhika tumeagana vzuri usiku mwema.
The story book
 
Sasa na wewe mwenzio ale nini 😂😂😂 nyumbani umeacha hela au hujaacha.? Mchepuko wako ndio afe njaa?

Nimecheka eti tumerudiana jana usiku 🤣 halafu ninyi ni wahaya? Ila DP unampenda sana mama J, I can tell kwa jinsi unavyoongea nae. Mahusiano ya hivi huwaga raha sana na inaonesha ni namna gani mna connection ya kipekee.
Mama j msukuma hiyo lafudhi ya kukandamiza kabisa, halafu hawajui kuomba huwa ni command tu
 
Back
Top Bottom