Eti nisipompa hela ya mboga, Kama vipi tuachane

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,454
99,086
Aisee wakuu
Yaani Kuna watu kua nao kwny mahusiano Ni changamoto Sana

Juz Kati Tulikua na migogoro inaenda wiki ya pili kila mtu kivyake, ijumaa usiku tumekutana kaomba msamaha yameisha na tukapongezana kurudiana tena kwa show moja ya nguvu Sana. Kila mtu karidhika tumeagana vzuri usiku mwema.

Sasa Jana j.mosi asbh Niko dukan,
Ananipigia anaomba nimpatie pesa ya kula,Jana yake tumekutana kaamka kagundua sijamwachia chochote mezani kwake. Nikamuuliza "kwaiyo kumbe penzi huwa unaniuzia? Kwamba Kila Tukisex lazima nikuachie pesa?"

Akasema "hapana, namaanisha njaa inauma sn na ndani hamna kitu, kuna mchele mkavu TU, nipatie pesa nikanunue hata mboga"

Nikamwambia "ile Jana nakuja kwako sikubeba Ela yyt, afu sahv dukani sijauza chochote, ntakupa pesa jioni nikija uko" ghafla akaanza kufoka sn kua njaa inamuuma sn, hawezi ashinde njaa asbr mpk jioni wkt mimi nipo.

Hayo Maswala ya sijauza chochote dukani yeye hayamhusu, anachotaka Ni pesa tu ya mboga itumwe haraka sn kwny tigo pesa Yake, siwezi kutuma pesa ya mboga sahv, Kama vipi Bora tuachane, wanaume wako wengi sn, hawezi kua Kwny mahusiano yasiyo na faida, haiwezekani simpi yeye pesa na kuna shoga Yake Juzi juzi anajua kua nilimpatia pesa.

Nikamwambia
"FRESH TUACHANE, sitoi pesa ya mboga, sawa nmekubali kuachwa" Akasema "POA". Kila mtu akabaki kivyake.

Sasa leo tangu asbh Anapiga simu zake sizipokei, nmekuja kupokea anajaribu kushuka na kutaka maelewano Tena ikabidi kumtolea uvivu aache kujizima data Sana.

Nmemwambia ukweli asijaribu tena kunitikisa kibiriti, Kwamba Kama anahisi kanipa limbwata,ndo anajaribu kulitest Kama inafanya kazi, Basi limefeli na huyo mganga wake kamtapeli. Hajafanikiwa kunimudu Kama anavotaka kujiaminisha.

Kasema kanielewa,
Nmeona nimpe muda zaidi nione Kama atabadilika, asipobadilika Basi atakua sio riziki huyu mwanamke

Msikilizeni mamaJ wenu uyu hapa
 

Attachments

  • 20230610_032018.mp3
    1 MB
Back
Top Bottom