Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,699
- 171,936
Wewe na mama j wote ni viredio 😁Umecheeeeka[emoji28]
Wewe na mama j wote ni viredio 😁Umecheeeeka[emoji28]
Sahii kabisa mkuu,Aliyesema mapenz yanaua ni mwongo! Yangekua yanaua huyu Deep pond tungekua tushamzika kitambo.
Let's give Mr Deep pond his flowers
mvumilie tu jamani😊Tunakoelea sio kuzuri,
Kazidi Sana kujizima data,
Hata wiki haiishi kila siku migogoro[emoji4]
Ha ha ha....kwamba nilipaswa nijiongeze mapema kwamba nauziwa penzi mkuu?Wewe ndio unajizima data deep Bond..sabb uyo mwanmke yupo na ww sabb unamtunza na unamuhudumia period...
Nje ya hapo Hana haja na ww,kiufupi anakuuzia direct na indirect...na ww unajua sema tu penzi limekuzima data..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yeah ni kweli,,,ila upendo hufunika vyote hivyo we mpende tu mamaJ kwakweli😊🤗,Uvumilivu nao ujue una kikomo
Kuishi na mtu mwenye makasheshe kila siku sio KAZI ndogo, anapasua Sana kichwa.
yeah ni kweli anakutumia kimaslahi,, ila wewe mwenyewe ulisema huwezi kumuacha hujaona mwingne kama yeye that's why nasema kama umempenda kweli mvumilie tu🤗Ha ha ha...sahv akili ishakaa kumkichwa kua tunatumiana TU kimaslahi
Akili jajachukua lkn hisia zako amezikomba.Uyo mganga wake kamtapeli,
Bado Nna akili zangu timamu mkuu[emoji4]
Yap ..sabb mchepuko wowote unaangalia pesa...hakuna mchepuko wenye mapz ya kweli na Mtu..mapz ya kweli unaweza yapata labda Kwa mke wa ndoa..Ha ha ha....kwamba nilipaswa nijiongeze mapema kwamba nauziwa penzi mkuu?
Sasa mkuu,Yap ..sabb mchepuko wowote unaangalia pesa...hakuna mchepuko wenye mapz ya kweli na Mtu..mapz ya kweli unaweza yapata labda Kwa mke wa ndoa..