Eti nipite na huko.......

tena paka mweusi! kama una mdogo wako au sister wako nifanuie mpango! wapemba hawayawezi hayo! hayo yako mombasa banahh! hahaha!(MKUU IZI ZINGINE JOKES TU HUMU) USIZICHUKULIE KIIVO MKUU WANGU

Nakuaminia mkuu wangu na mimi nimegundua kuwa ni jokes ndio maana nikawapiga dongo wapemba,ushasikia wapi mpemba anaitwa markj
 
Last edited by a moderator:
Khaa! yaani umemaliza mchezo halafu unakuja kusikilizia jf!

Uamuzi unao mwenyewe na kama hilo jambo lilikukera au hukubaliani nalo ungekuwa umeshafanya uamuzi na hapa unatupa utekelezaji ili wengine wajifunze pindi wanapokutana na wa2 km hao.
 
Duh,nilishawai kuitwa mshamba kwa kukataa kula hiyo makitu.Ndio watu wetu hao tena mkuu
 
aiseeee hiyo ni khatari hatari hizo mambo ni noma tusijaribu kabisa kwa sababu zifuatazo
ki biology; kuna bacterial ambao wanaishi mjini humo kazi zao ni kula mali zilizo kuwepo kurahisisha haja hivyo uki introduce hiyo dushelele yako huko unaweza kupata uti na maradhi mengine.
Ki dini; nathani hakuna dini inayo ruhusu mambo hizo japo hawa wenzetu wanataka kulihalalisha kidini zaidi. Tumuogope mungu jamani

tena ukome hakuna dini iliyo halarisha hiyo kitu.
 
Kwa maana ingine wakati wewe unampigia mahesabu ya kuufungua ukurasa baada ya ndoa mwenzako alishaufungua na kuuandikia ukajaa na kugeuza page kabisaaa (P.T.O)

mwanajamii one kwa maana nyingine ni anaremba mwandiko wakati somo lenyewe ni imla.
 
Mwanzoni nilisimuliwa na rafiki zangu lakini nikaona kama utani,lakini kwa sas imenitokea na nimeamini.
Ulikuwa ni wakati mzuri sana kwa sisi wapendanao wapya kufungua ukurasa mpya wa mapenzi kwa kukutana kimwili baada ya mbio ndefu za kuwinda,hayawi hayawi mwishowe yamekuwa mtot ndani ya himaya yangu;hatumwi mtu dukani hapo,si mchezo ukaanza mara hapa mara pale kama kawaida nikamaliza,baada ya kumaliza naona binti amebadilika kwa kununa,namuuliza kisa anasema hajaridhika,duuh uchangamfu unaisha,binti anafunguka anasema "MI SIRIDHIKI MPAKA UNINAHII NA HUKU NY**MA,haaaaaaa nilipgwa na mshangao kweli na niliona maajabu.Ndugu zangu hii tabia naona inakua kwa kasi kwelikweli,tatizo ni nini?vipi mnanishuri vipi juu ya huyu bi dada nimwage au niendelee naye?

itaachaje kukua wakati daily mnasimuliana na kutambiana! matokeo yake ndo hayo kila mtu anataka kujaribu.Mungu tuokoe na hii laana na ukilinde hiki kizazi.
 
ndo maana uwa tuna try before buying, sasa ungekuwa ushaonja hapo kabla si ungejua haya matatizo ukapiga chini mapema
 
Khaa! yaani umemaliza mchezo halafu unakuja kusikilizia jf!

Uamuzi unao mwenyewe na kama hilo jambo lilikukera au hukubaliani nalo ungekuwa umeshafanya uamuzi na hapa unatupa utekelezaji ili wengine wajifunze pindi wanapokutana na wa2 km hao.

kule alikotaka sikula,nachotaka ni je niendelee naye au nimbwage?
 
afu ukimwangalia kwa muonekano unaweza sema hapo kijana dume umeopoa kumbe umelamba garasa...

Don't judge a book wasichana wanajua kupritendi sana me nakaa na binti ukikutana nae unaweza kumuoa siku hiyo hiyo lakini tabia zake lo,kweli dunia imeharibika
 
Mi sijakuelewa, Tena sijakuelewa kabisaaaaa!! Ndo unataka tukupe ushauri Wa utakachoamua au ushauri Wa kula 0713 kwa Mara nyingine? Kama alikwambia hajaridhika kwa muda huo we ukafanyaje? Please malizia story ili nijue la kukomenti!

Back
Top Bottom