Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Kweli nimeamini hakika kichwa cha kuku hakiji kubeba mzigo kamwe.

Ivi umesoma Chuo au Choo, maana akiri zako zinafanana na Choo.

Tabia ya choo sasa ukiwa nje hunuka sana, lakini ukiingia ndani wala, ni fresh tuhh kama Q kamba.
 
Daaaaah wadada wengine mburula kabisaaaa... kuku ndo zinaleta hela nyau ww... unamvuruga vuzi tu bwana ako.... wanaume tutaendelea kuoa mahouse girl mpaka mbinguni. we. Sexless it seems ur less hata ubongoni mwako na kitandani....
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Imenibidi tu nikutukane...pumbavu kabisa
 
Huyo ndio type yako....ungekuwa high class ungeolewa na zuckenberg ,eti ananifaa kweli kwani unalala na yeye au kuku
 
Kidogo nishangae nani tena? Kumbe sexless
bf7c7c0de0904dc8749e32003c87bcae.jpg
bonge la noma yan.
 
Mfuga Kuku hio ni kazi tu kama kazi nyingine kikubwa kibunda,wafuga kuku hata serikali haikati kodi,na wewe na mashosti subiri ajira utaona cha Mtema kuni bora mfugaji
 
bado hujakuwa1 na bado hujui mwanzo wako unatengenezaji mwisho wako !lakini wacha tusubiri muda utaamua japo hutarudi hapa kwa ningejua zako!
 
watu wanapaki vyeti chini kisha wanafanya hizo kazi acha ujinga mdogo wangu nikikuandikia fursa ninazoziona kwa huyo mkaka lazima ukamlambe miguu
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
punguani
 
Sikutegemea kwa karne hii kama bado yupo mwanadam ambaye naweza mdharau mwanzake kwa sababu ya kazi yake...,najua sasa hivi bado mambo yamekaa vzur kwa upande wako na huenda unaringia shape uliyonayo subir uchuje utamtafuta huyo mfuga kuku lakn hatakuwa tena mtu wa type yako!
 
Back
Top Bottom